Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

leo nimeirudia tena kusoma tena kwa leo huku nikiwa na notebook pembeni.
na kunamaeneo nilijaribu kufikiri na kuvaa urafiki wa hivyo ingekuwaje? nikatazma marafiki nilio nao. kuna vingi vya kujifunza nitarudi baadaye tena
Pamoja mkuu, kwa yaliyo kutatiza. Tunaeza yajadili.
 
umeandika kitu kizuri sana cha kujifunza hapa tunachanganya kati ya washikaji na marafiki. inawezekana wengi tunawashikaji na si marafiki na tunawakubali kuwa ni marafiki.
binafsi kipindi cha nyuma kuna rafiki zangu waliniumiza tokea wakati huo siwezi tena kumwamini mtu yeyote kwa yote na nimejikuta nimekuwa kama mhindi nafikiri imesaidia.
ifike wakati lazima tujue huyu rafiki niliye naye ana nini cha kwangu na kwangu anaweza kuhitaji nini?
ifike wakati tujue tunachotaka kwa kuwa tukijua tunachotaka tutajua thamani yake na pia tutatafuta jinsi ya kukupata na nani atusaidie kufikia tunachotaka na kwa njia zipi?
lakini gharama yake ikoje? je tupo tayari kulipa gharama ya anayetutegemeza kufikia lengo kusudiwa kwa kiasi gani?
ukienda uanacho cha kutoa utakuwa jasiri na utafanikiwa zaidi sio tuwe kama bahari inayotegemea maji toka kwenye mito na haikumbuki kutoa gawio kwa mito hata wakati wa kiangazi!
 
Marafiki?

Really?

I dont believe you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…