Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Naam, sahihi kabisa....
Sio mbaya kutengeneza bond, ila ishi kwa alert.
👉Mazoea yasiwe deep Sana, coz unaeza potezwa na hao hao.
👉Wakikuonyesha upendo, waonyesho upendo×2.
👉Wakikuvuruga usilipe, wape nafasi waende ili kutotengeneza nafasi ya uadui🙏 kabanga
 
Tulishathirika nao mwanzo sasa points ukizotaja ndio naishi nazo mwaka wa 10 sasa....
 
Nikiulizwa swali rafiki yako nani?....sina aise mara ya mwsho kua na rafiki ni maisha ya masomoni tu
Kwa sasa sina
 
Watu wako wa karibu, daily ??
Ninaposali nimezoeana na jamaa mmoja hv mtu mzima sana ana familia yake ..huyo kidogo ndio huwa nampigia simu kuongea nae
Wengine huwa tunasalimiana tu basi tukiongea basi ni mambo ya dini tu

Aise itabidi nitafte rafiki hususani wa kike,japo kuna watu wachache sana nimezoeana nao kazini hao wakipata dili huwa wananijuza
 
Hao ndio marafiki zako🙏🙏, kuhusu rafiki wa kike🤔
👉Kuwa makini asije vuruga mipango yako😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…