Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
fdsafdsfasd.png

Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia katika bara zima la Afrika, na kuongeza kuwa, katika macho yake, jrngo hilo ni zawadi kubwa ya thamani ambayo China imewapa watu wa Cameroon.

Spika Cavaye amesema jengo hilo jipya la Bunge limeimarisha msingi wa urafiki ambao tayari ulikuwa imara, na kwamba ufanisi wa uhusiano huu umekuwa mzuri kiasi kwamba, hata migogoro mfululizo iliyoitikisa Cameroon katika miongo ya karibuni imeshindwa kudhoofisha msingi wa urafiki huo. Amesema China imekuwa pamoja na Cameroon katika shida na raha, na kuendelea kufanya kazi pamoja bila kuchoka katika ujenzi wa ushirikiano uliopata matunda bora.

Mwaka 2017, jengo la bunge la Cameroon liliathiriwa vibaya na ajali ya moto, na hivyo kufanya vigumu kazi za bunge kuendelea kufanyika katika jengo hilo na kuwalazimu kuhamia sehemu nyingine ambayo haikuwa na vifaa muhimu. Miaka miwili baadaye, Spika wa Bunge hilo, Bw. Cavaye, aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo hilo jipya kwa ufadhili kutoka China. Kundi la Kampuni ya Ujenzi wa Miji ya Beijing (BUGG) ilianza kazi ya ujenzi wa jengo hilo na kuikamilisha miak mitano baadaye. Jengo hilo kwa sasa linatumika kama alama ya kuvutia, likiwa ni miongoni mwa majengo ya kisasa yanayoibuka katika eneo la Ngoa Ekele mjini Yaounde. Jengo hilo lenye ghorofa 15 na lililopambwa na sanaa za jadi za Cameroon, lina sehemu mbalimbali ikiwemo ukumbi wa sherehe, jengo la ofisi, chumba cha vifaa, sehemu ya kuegesha magari nje, na maduka.

Meneja mradi wa BUGG, Cui Jinping, anasema wakati wa ujenzi wa mradi huo, zaidi ya Wacameroon 1,000 waliajiriwa na ujuzi ulihamishwa kwao, na kwamba wafanyakazi wa Kichina na wazawa walishirikiana kwa pamoja kumaliza kazi za ujenzi wa mradi huo. Anasema mwanzo wa ujenzi wa jengo hilo, waajiriwa wa Cameroon walifuata mifano ya wakuu wao wa kazi, ambapo mfanyakazi mmoja Mchina aliongoza wafanyakazi wanne ama watano wazawa. Lakini baada ya kipindi cha mafunzo, wafanyakazi wazawa walioajiriwa waliweza kufanya kazi nyingi za ujenzi wao wenyewe bila ya kusimamiwa.

Jean Atangana, mfanyakazi mejnzi mwenye uzoefu wa miaka 10 katika kazi hiyo, analichukulia jengo la Bunge la Cameroon kama kilele cha kazi yake. Anasema amevutiwa na ujuzi wa wafanyakazi wenzake Wachina, na kusema ni heshima kubwa kuijenga nchi yake pamoja nao.

Nchini Cameroon, kuna majengo mengi ya kipekee yaliyojengwa na kampuni za China. Moja ya majengo hayo ni Uwanja wa Michezo wa Yaounde, ambao ni uwanja wa ndani, na unajulikana kama ‘hekalu la michezo na utamaduni’ kwa sababu unatumika kwa aina zote za matukio ya ndani ya nchi na yale ya kimataifa.

Jengo lingine la kipekee ni Hospitali ya Wanawake, Ukunga na Watoto ya yaounde, ambayo imejengwa kwa ufadhili wa China na ilianza rasmi kufanya kazi mwaka 2002. Ni hospitali kuu nchini humo inayoshughulika na magonjwa ya wanawake, uzazi na watoto.

Edward Adamu, mbunge wa bunge la Cameroon, anasema, majengo hayo yanasimama kama ushuhudia wa uhusiano wa kunufaishana kati ya China na Cameroon. Anaongeza kuwa, wameshuhudia uzoefu mbaya kutokana na kufanya kazi nan chi za Magharibi, lakini ushirikiano wa Kusini na Kusini unaonesha kuwa hiyo ndio njia kwa sasa, kwani ni uhusiano wa kunufaishana, na sio wa kufanikisha mmoja na mwingine kushindwa.
 
View attachment 3172830

Wanachotakiwa sasa ni kuchunguza na kulisafisha kama kuna electronic bugs. Wakumbuke jengo la OAU lililojengwa kwa msaada wa China, nini kilitokea.
 
  • Thanks
Reactions: rr4

Hakuna kitu cha bure hapa duniani China sio wajinga.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
cha bure kabisa wanashinda kukaa kwenye ukumbi hata wa harusi wajadili mpaka waje kujengewa na china upuuzi wa afrika hautawahi kuisha
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom