Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
location location location.Jengo baya zaidi ya ghala la nafaka halafu ndio dola milioni kumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
location location location.Jengo baya zaidi ya ghala la nafaka halafu ndio dola milioni kumi.
Wakati mwingine inasikitisha kuona the "great thinkers" wakiongea mautumbotumbo na kuendeleza lawama za kisiasa hata pale serikali inapofanya jambo zuri.
Ubalozi wa Tz marekani haupo pale kwa muda mfupi. Gharama za kupangisha ofisi na nyumba zinaongezeka kila mwaka sambamba na matumizi ya balozi zetu. Kama sisi ni great thinkers basi ni bora tukapiga mahesabu tuone uwiano wa hasara na faida za ununuzi wa jengo kabla hatujaendeleza propaganda.
location location location.
Privatization haina mana total withdraw from business. Husitudanyanye na kujaribu kupotosha hapa. Serikali ina hisa nyingi tu katika makampuni kadhaa; inafanya bihashara.
First of all mind your h's before jumping to more sophisticated topics.
kama tunataka ukweli wa bei la jengo hilo tunaweza kupata.With the location in mind, you dont build/ buy an extravagantly overpriced boxed monstrosity in subterfurges and expect the good people of JF to cheer.
I mean this is not exactly lower Manhattan, and I could find you better looking boxes not only in lower Manhattan, but near the exchange, for a better tag.
This is the perfect masquerade for some dubious shenanigans, watch this space.
The topic is a bread and butter to me; way far from being sophisticated.
kwa nini tuspend $10m kununua ubalozi wakati wa recession. wakati huu dunia nzima price ziko chini.
kwa nini unununue ghorofa sita na wakati mahitaji yako ni tatu??
je hilo jengo limenunuliwa cash au ni mortage??? kama mortage tutalipa bei gani mpaka tutakapomaliza.
eti kuli maintain jengo ni $370,000 kwa mwaka
Right about now your best bet on this infraction is to bow down gracefully and thank me for the lesson.
Folks,
It is not like the embassy just requested $10.5 million from the Treasury for the building.
The embassy had some money from the previous sale of its first residency and the embassy still owns its former office building which is run down but is also in a prime area. Recently George Stefanopoulous of ABC bought a 5.8 million 32 storey-house not too far away from the new Tanzania house, so for a 6 floor house to cost 10.4 million in DC is a pretty darn good deal. I hear the former owners of the building were in danger of being foreclosed so Tanzania was able to get a good deal on the building.
Jasusi,
Of all people you should know better kwamba, economics aside, sababu za kiusalama tu haziruhusu kufanya jengo la ubalozi wetu liwe na ofisi za kibiashara juu yake.
I don't understand how these people work!