Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika

88.jpeg

Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii

nyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]

lift ziko nairobi pekee,ndio mnakaaga mnatiana ujinga.
Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
 
Mhh lift tu? Tuna hadi escalators mikoani.
Hongereni lakn.
 
Litakusaidia nini kuukabili umaskini wa ukoo wako?
Kwa Africa miji ambayo ardhi bado ipo ya kujenga maghorofa yasiyo marefu sana, kujenga maghorofa marefu sana, especially residential, ni ulimbukeni tu.

Hapo unaleta complications zisizo za lazima.

Inabidi pawe na uhakika wa umeme muda wote. Umeme ukikosekana, kupanda ghorofa 44 ni janga.

Kadiri ghorofa linavyozidi kuwa refu ndivyo linavyozidi kuwa not cost effective. Kuna kupandisha maji huko juu, utatumia energy zaidi.

Pia, unavyozidi kupeleka jengo juu ndivyo unavyozidi kuongeza demand za parking space hapo chini.

Kwa residential buildings in Africa ukizidisha urefu wa ghorofa sana ni mbwembwe tu.

I can understand somebody doing this on the island of Manhattan, where the only way to increase living real estate is up.

But in places like Nairobi hizi ni mbembwe tu.
 
Kwa Africa miji ambayo ardhi bado ipo ya kujenga maghorofa yasiyo marefu sana, kujenga maghorofa marefu sana, especially residential, ni ulimbukeni tu.

Hapo unaleta complications zisizo za lazima.

Inabidi pawe na uhakika wa umeme muda wote. Umeme ukikosekana, kupanda ghorofa 44 ni janga.

Kadiri ghorofa linavyozidi kuwa refu ndivyo linavyozidi kuwa not cost effective. Kuna kupandisha maji huko juu, utatumia energy zaidi.

Pia, unavyozidi kupeleka jengo juu ndivyo unavyozidi kuongeza demand za parking space hapo chini.

Kwa residential buildings in Africa ukizidisha urefu wa ghorofa sana ni mbwembwe tu.

I can understand somebody doing this onnl the island of Manhattan, where the only way to increase living real estate is up.

But in places like Nairobi hizi ni mbembwe tu.
So what kama ni mbwembwe tu. If they can afford it they can afford it. Usidhani kila mtu Afrika ni masikini.
 
Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
wala sikatai,

yafaa tu ujiulize kwanini mji wa 5 tz ukose lift!!!!!
jibu ni kwamba ukanda ule haukuwahi kuwa na maghorofa kwa sababu ya matetemeko,mpaka maamuzi yalipotolewa upya.
 
Kuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.
Hapana mkuu, kuna moja na linapatikana "jiji" la Mbeya. Ilizinduliwa rasmi na maafisa wakuu serikalini na watu wakala na kunywa. Kuna hadi waliobeba mapochopocho kwenda nazo nyumbani baada ya hafla kumalizika mida ya saa kumi na mbili jioni. Bango kubwa liliwekwa mbele ya jengo lenyewe kuashiria siku kuu. Wanenguaji viuno pia hawakukusekana japo kuna baadhi waliteguka viuno pia. Ilikuwa ni hafla moja kubwa kuwahifanyika!

hab1.jpg
Untitled-1.jpg
404dc5104ea035ce5f0745ea1f9c72f2.jpg
794541cb933ad2f7a8255fa492cf3a87.jpg
c601b8e55387b081c095d583e9f23e8e.jpg
 
Back
Top Bottom