Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Ubaya ni kwamba inakuwa tu Ni shida ikifanyika upande wa Kenya. No mara ngapi mlifurahia klna kupiga kifua when Dar built what was once the tallest building in East Africa? Did you think about all these things you are saying now?Kwa Africa miji ambayo ardhi bado ipo ya kujenga maghorofa yasiyo marefu sana, kujenga maghorofa marefu sana, especially residential, ni ulimbukeni tu.
Hapo unaleta complications zisizo za lazima.
Inabidi pawe na uhakika wa umeme muda wote. Umeme ukikosekana, kupanda ghorofa 44 ni janga.
Kadiri ghorofa linavyozidi kuwa refu ndivyo linavyozidi kuwa not cost effective. Kuna kupandisha maji huko juu, utatumia energy zaidi.
Pia, unavyozidi kupeleka jengo juu ndivyo unavyozidi kuongeza demand za parking space hapo chini.
Kwa residential buildings in Africa ukizidisha urefu wa ghorofa sana ni mbwembwe tu.
I can understand somebody doing this on the island of Manhattan, where the only way to increase living real estate is up.
But in places like Nairobi hizi ni mbembwe tu.
The other thing you need to know is that Nairobi is very small in size. The only way it can cope with the increasing population is to go up and that's what developers like 88 nairobitis doing. Stop looking for negativity in any Kenyan project