Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Nilichoandika ni very logical. Wewe uko comfortable na Marekani kujenga majumba kama haya lakini unadhani kwamba Africa is too poor to build such towers. That is such a toxic mindset na Africa haitawahi kuendelea ikiwa tutawaza kwamba sisi ni masikini hatufai kuwa na vitu vizuri. Kwamba nchi zilizoendelea pekee ndizo zinazostahili kuwa na majengo kama haya.
Nipe mfano mmoja wa nilipoonesha nipo comfortable na Marekani kujenga majumba haya.

Facts nilizotoa against skyscrapers haziko Kenya specific. Zina apply hata Marekani sehemu yenye land.

Usi accuse bila ushahidi, weka ushahidi hapa.
 
Majirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Huu ndio msingi wa jengo la ghorofa 44! Liwekeni jengo hili kwenye orodha ya maghorofa yatakayo ndondoka siku za usoni.
 
Huu ndio msingi wa jengo la ghorofa 44! Liwekeni jengo hili kwenye orodha ya maghorofa yatakayo ndondoka siku za usoni.

Wabongo mumenivunja moyo, nilitegemea huu uzi utachezea kwenye kurasa ya kumi kwa povu zenu, mpaka sasa naona kurasa tatu tu, nendeni muitane mje, kila mmoja atokwe la kwake.
 
Zege la 3 metres limeshamwagwa. Sasa linakauka.
8F44AAB3-1EA5-4F55-9D09-634664D42C5B.jpeg
 
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika


Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii



Mkopo wa treni bado mjamaliza kwa wachina
 
hongereni wakikuyu magufuli anaplani ya jengo la namna hii pahala fulani 50 floors
 
Back
Top Bottom