Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Yaliyoporomoka hayakujengwa kwa standards yoyote. Hayakufuata hata Kenyan standards.
Hehehehee, tangu lini mkaipa kipaumbele standars tony bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tony254 hongereni majirani kwa kujenga jengo refu zaidi Afrika mashariki ila nikukumbushe tuu kuwa jengo refu zaidi lipo Johannesburg carton center na litakalovunja record linajengwa Egypt hilo ni kama Vodacom tower lililopo hillbrow nalo lina idadi ya kubwa gorofa all in all hongereni majirani...
 
Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
Mbeya hyo huko kwa wanyakiusa
 
Kuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.
Tukiacha hiyo kitu inaitwa lift pia muko na kitu ingine maalumu inaitwa Alshababu hiyo ni sawa na nyongo chini ya ini mutaelewana tu.
 
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika


Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii

Deni lenu la Taifa linazidi kuongezeka tu. Yaani Kenya mnadaiwa zaidi USD 100 Bil
 
Ligi ya majengo EAC imebakia Nai inashindana yenyewe.

Ila tuna matumaini kwa uongozi wa mama kuirudisha nchi kwenye uchumi wa soko kutoka kwa wale washamba wa kijamaa hopefully by 2025 real sector hasa ya majengo marefu utarudi upya

Mwendazake aliharibu Sana uchumi na sekta ya majengo marefu ambayo kwa Tzn inategemea Sana sekta ya umma hususani pension funds

Tumeona investors wa kichina wakimtembelea mama na kuahidi kumimina kapesa
 
Majirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Mbona haya yako kila mahali siku hizi. Tanzania tunayo sijui waliopo kama wataendeleza spidi ya Magufuli na kuwafunika wakenya kama alivyodhamiria kufanya.
 
Mbona haya yako kila mahali siku hizi. Tanzania tunayo sijui waliopo kama wataendeleza spidi ya Magufuli na kuwafunika wakenya kama alivyodhamiria kufanya.

Hehehe!! Amin nakuambia kipindi cha Mkwere mngetukaribia ila sio hicho cha JPM, kikubwa alichokua anafanya alijua sana kutafuta umaarufu kwenye kida ndogo alilokua anafanya hadi msiojua kusoma takwimu za kiuchumi mnaona kama kweli ndio mumepata Masihi.

Kikwete alikua anatupiga mabao kimya kimya aisei, yaani ukuaji mpaka ulikua unachezea 8.2%
 
Back
Top Bottom