Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

NSSF site hapo GPO ni kama kuna kitu inaendelea.....hapo ndio kulikua kujengwe building ya floors 61...[emoji91][emoji91] noma sana...kwa sasa iko fenced already
IMG_20210504_064451.jpg
 

Attachments

  • IMG_20210504_064454.jpg
    IMG_20210504_064454.jpg
    53.8 KB · Views: 2
NSSF site hapo GPO ni kama kuna kitu inaendelea.....hapo ndio kulikua kujengwe building ya floors 61...[emoji91][emoji91] noma sana...kwa sasa iko fenced alreadyView attachment 1772672
Kwenye project ya river estate sasa ndio wanamalizia kufence upande wa kwenye mtoo na kubomoa nyumba moja iliyokua imebaki kwenye site
 
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika


Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii

Hawa jamaa lazima waanze kujenga majengo ya kwenda juu maana wenye nchi washagawana ardhi yote.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hii technology wanayotumia nadhani ni mpya hapa EA. Simiti wanayotumia inakauka haraka sana so hakuna kupoteza muda.
Vitu vya kawaida sn, alafu wewe njoo kule kwenye thread yetu pendwa unahitajika kule, kuna mTz ameamua kufanya kazi uliyosema utaifanya endapo Wakenya watakutibua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
By the way kwa taarifa yenu wapendwa, zege linamwagwa 24/7 usiku na mchana hadi litakapofikia mita tatu kwa urefu bila kukoma. Foundation yake itakuwa ni mita tatu ya zege tupu na reinforced steel. Hii ni American standard of construction which is the best standard of construction. Kimo cha foundation kwa hivyo sio lazima ichimbwe deep sana ila jengo lenyewe litakuwa stable kabisa maana American standard ndio the best kwa kujenga majengo stable na strong. Tazameni video kwa maelezo zaidi. Anzia 4:20 maana mwanzoni kuna maongezi ambayo hayana maana.

Ina maana foundation nzima ni single slab/footing from which kutachepuka columns.? (kawaida tumezoea kila column na own footing)
 
A one-bedroom unit will be leased at Sh480,000 a month, according to media reports.
 
Achana na media, kwani ni burj khalifa hiyo? 😂 BTW, are you referring to Kshs or Tshs??? 🤔
Just in .Confirmed from reliable source ksh 480000 per month. Shy short of half a million kenya shillings.😳
 
Back
Top Bottom