nini mnavyomwaga zege?? utakuwa uchizi huoMajirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
nyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]Kuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.
Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.nyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]
lift ziko nairobi pekee,ndio mnakaaga mnatiana ujinga.
Yani uishi hapo ukose pesa ya kula migahawani alafu kwani utayumia stairsMpka kufika gorofa ya 44 plus nimetoka kazini nina njaa ya kufa mtu..si nitafia njiani
Mhh lift tu? Tuna hadi escalators mikoani.Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
Kuna mtu anakukimbiza?Yani uishi hapo ukose pesa ya kula migahawani alafu kwani utayumia stairs
Kwa Africa miji ambayo ardhi bado ipo ya kujenga maghorofa yasiyo marefu sana, kujenga maghorofa marefu sana, especially residential, ni ulimbukeni tu.Litakusaidia nini kuukabili umaskini wa ukoo wako?
So what kama ni mbwembwe tu. If they can afford it they can afford it. Usidhani kila mtu Afrika ni masikini.Kwa Africa miji ambayo ardhi bado ipo ya kujenga maghorofa yasiyo marefu sana, kujenga maghorofa marefu sana, especially residential, ni ulimbukeni tu.
Hapo unaleta complications zisizo za lazima.
Inabidi pawe na uhakika wa umeme muda wote. Umeme ukikosekana, kupanda ghorofa 44 ni janga.
Kadiri ghorofa linavyozidi kuwa refu ndivyo linavyozidi kuwa not cost effective. Kuna kupandisha maji huko juu, utatumia energy zaidi.
Pia, unavyozidi kupeleka jengo juu ndivyo unavyozidi kuongeza demand za parking space hapo chini.
Kwa residential buildings in Africa ukizidisha urefu wa ghorofa sana ni mbwembwe tu.
I can understand somebody doing this onnl the island of Manhattan, where the only way to increase living real estate is up.
But in places like Nairobi hizi ni mbembwe tu.
Jamaa huwaga una tope Sana kichwaniSo what kama ni mbwembwe tu. If they can afford it they can afford it. Usidhani kila mtu Afrika ni masikini.
wala sikatai,Kuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
Hapana mkuu, kuna moja na linapatikana "jiji" la Mbeya. Ilizinduliwa rasmi na maafisa wakuu serikalini na watu wakala na kunywa. Kuna hadi waliobeba mapochopocho kwenda nazo nyumbani baada ya hafla kumalizika mida ya saa kumi na mbili jioni. Bango kubwa liliwekwa mbele ya jengo lenyewe kuashiria siku kuu. Wanenguaji viuno pia hawakukusekana japo kuna baadhi waliteguka viuno pia. Ilikuwa ni hafla moja kubwa kuwahifanyika!Kuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.