Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

nyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]

lift ziko nairobi pekee,ndio mnakaaga mnatiana ujinga.
😂😂😂 Chief
Huyo mkenya haishi NRBO anaishi Mandera county huko ni semi desert hamna maghorofa ndio Maana anaona lift ni kitu unique Sanaa anatia hata na aibu
 
si kwa sababu ya ushamba,mbeya ilikuwa ni sababu ya kijiografia haikuruhusiwa kujengwa majengo marefu.

kwahiyo rifti zilikuwepo mikoa kibao ikiwemo moshi ya mbali kiukubwa,lakini mbeya haikuwepo.
 
si kwa sababu ya ushamba,mbeya ilikuwa ni sababu ya kijiografia haikuruhusiwa kujengwa majengo marefu.

kwahiyo rifti zilikuwepo mikoa kibao ikiwemo moshi ya mbali kiukubwa,lakini mbeya haikuwepo.
Nakuru, Jiji letu la NNE, pia hairuhusiwi kujenga majengo marefu yet imekuwa na lift kuanzia enzi zile. Cheap excuses.🚮🚮🚮
 
Nakuru, Jiji letu la NNE, pia hairuhusiwi kujenga majengo marefu yet imekuwa na lift kuanzia enzi zile. Cheap excuses.[emoji706][emoji706][emoji706]

wewe ndio unaona excuse mimi nakupa sababu ya msingi.kama mlijenga majengo marefu kitambo yakiwa hayaruhusiwi hivyo hivyo kwanini msiweke rift sasa!!!

sisi hayakuwepo kabisa na majengo yenyewe.
au unataka aerial ya mbeya uone panakaaje???
 
Kwa hivo hilo lenye liliwekwa sio jengo? Mbeya panakaa ovyo sababu mmeshindwa kupajenga, wacheni excuses.
 
wewe ndio unaona excuse mimi nakupa sababu ya msingi.kama mlijenga majengo marefu kitambo yakiwa hayaruhusiwi hivyo hivyo kwanini msiweke rift sasa!!!

sisi hayakuwepo kabisa na majengo yenyewe.
au unataka aerial ya mbeya uone panakaaje???
Kama haparuhusiwi majengo marefu Mbeya mbona jengo hilo lilijengwa? Unajichanganya mzee.
 
Kama haparuhusiwi majengo marefu Mbeya mbona jengo hilo lilijengwa? Unajichanganya mzee.

mimi ni mtanzania elewa ninachokwambia.

hilo ndio jengo la kwanza mbeya kuvunja utaratibu huo na mengine yakafuatia,kama hutaki sina cha kukupa.
 
Hahaha TBT. Hii comment imeuwa though. Nicxie hii comment imeweza sana.
 
Hii view kuiona tena Itakua shida.... Le'mac ni giant,inaone kwenye hii picha pia
 
LED display of GTC tower

My first time in Abu dhabi was in 2011, bana i was amazed by the light shows they had in their buildings, my favorite building half of it was an LED screen, that time is when they were building the etihad towers and the cranes were almost topping out.Great to see that this is becomin a norm in most new Nairobi's skyline
 
Yeah I am glad Kenya is catching up. Ethiopia has also installed LED display lights on their tallest building. Africa is movin forward slowly but surely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…