Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

We are not in the same league. Hii jengo litajengwa Zanzibar
JamiiForums1538194829.jpg
 
Kwani hili jengo linajengwa baharini?!...[emoji52][emoji52][emoji706][emoji75][emoji75]
Design ya Burj Al Arab, although burj haiko katikati ya maji ka hiyo inavyoonekana. So hapo kwanza ni kujenga artificial island kwanza, itakayoweza kuzuia uzito wa hiyo structure. Mambo ya Emirates hayo, wamuulize mzungu ndio vituko vyake kwa anga za majengo ka haya!
 
Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
Hapo kwa elimu sasa! 🤣 🤣 🤣 👇
Screenshot_20210919_212224.jpg
 
Wakati mnajenga vighorofa viwili vitatu vitakavyokuja kukaliwa na foreigners, wanaume tunamalizia miradi yetu ya kimkakati itakayomkwamua mwananchi na ugumu wa maisha, Wakenya tazama limradi la ki giant hilo hii inaitwa JNHPP au mkombozi wa EA cz atatusaidia sisi pia na nyie tutawauzia umeme muondokane na stupid endless blackouts[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1897065View attachment 1897067View attachment 1897068View attachment 1897069View attachment 1897070


My take: GoK isijaribu kuiga mambo kama haya itauwa wananchi wake, usiige tembo kukunya mafi makubwa, wewe endelea kukunya mafi madogo madogo kwa mfuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Blackouts KE, you're a big fool, huko kwenyu ndio taabu ya stima kupotea! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom