Wakati mnajenga vighorofa viwili vitatu vitakavyokuja kukaliwa na foreigners, wanaume tunamalizia miradi yetu ya kimkakati itakayomkwamua mwananchi na ugumu wa maisha, Wakenya tazama limradi la ki giant hilo hii inaitwa JNHPP au mkombozi wa EA cz atatusaidia sisi pia na nyie tutawauzia umeme muondokane na stupid endless blackouts[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1897065View attachment 1897067View attachment 1897068View attachment 1897069View attachment 1897070
My take: GoK isijaribu kuiga mambo kama haya itauwa wananchi wake, usiige tembo kukunya mafi makubwa, wewe endelea kukunya mafi madogo madogo kwa mfuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]