Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

Majengo yenu yana tabia ya kuanguka wakati ujenzi ukiendelea!

Yaani mimi hapa mzawa wa mjini na nimeishi sana maisha ya kimjini ila siku hizi kila nikiingia mjini najiona mshamba, majengo marefu tena yenye kupendeza yametaradadi kote kote hadi raha, na bado ujenzi unanendelea kwa kasi, hii Kenya itafunika sana kwa kweli.
 
Kawaida yenu mkiona kitu njema Kenya lazima mlipake tope na kutumia kila aina ya neno ili kulidhalilisha. Nyinyi sio wa kwanza na hamtakuwa wa mwisho. Wakati mlijenga lile jengo lenu la TPA na ikawa ndio jengo refu zaidi hapa EA kwa wakati huo mnasahau jinsi liishabikia kwenye huu uzi? Acheni unafik!
Sasa ghorofa refu linasaidia nn
 
As i promised...
IMG_20210824_065534_605.jpg
IMG_20210824_065456_603.jpg
IMG_20210824_065415_051.jpg
 
Sorry aisee ndiyo naangalia huku juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu uzi ulianzishwa kwa sababu ya hii project yenye 44 floors....hadi sasa ujenzi umefikia hapa [emoji16][emoji16]View attachment 1906707View attachment 1906708
Kuna kitu nilikuwa najiuliza, kwanini kila mnachojenga kinashindwa kubadili taswira ya mji wenu? Nafikiri hili swali Wakenya wengi including you mnajiuliza na jibu hampati, jibu lake ni moja kwamba elimu imeshindwa kumsaidia mkenya.
 
ehe look at you🙈,hukosangi kutoa machungu yako kukipostiwa anything Good about Kenya, because you can never reach our level,every month something new,hehehe🇰🇪✊
 
Back
Top Bottom