MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Majengo yenu yana tabia ya kuanguka wakati ujenzi ukiendelea!
Yaani mimi hapa mzawa wa mjini na nimeishi sana maisha ya kimjini ila siku hizi kila nikiingia mjini najiona mshamba, majengo marefu tena yenye kupendeza yametaradadi kote kote hadi raha, na bado ujenzi unanendelea kwa kasi, hii Kenya itafunika sana kwa kweli.