Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Chiefnyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]
lift ziko nairobi pekee,ndio mnakaaga mnatiana ujinga.
si kuna elevator Boss, binafsi nikiyapatia maisha nitaishi kwenye penty housesMpka kufika gorofa ya 44 plus nimetoka kazini nina njaa ya kufa mtu, si nitafia njiani
Wenyewe mmelaunch juzi lift ya kwanza Mbeya, mji wa nne kwa ukubwa hapo bongo, na unataka kutufunza mambo ya lift? 🤣🤣🤣nyinyi ndio mkija bongo huwa mnabaki kutoa macho[emoji23][emoji23]
lift ziko nairobi pekee,ndio mnakaaga mnatiana ujinga.
Wenyewe mmelaunch juzi lift ya kwanza Mbeya, mji wa nne kwa ukubwa hapo bongo, na unataka kutufunza mambo ya lift? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
![]()
The first building in Mbeya with lift on it, CWT building.
a site about architecture and buildings in tanzania and east africajengosanifumagazine.blogspot.com
Nakuru, Jiji letu la NNE, pia hairuhusiwi kujenga majengo marefu yet imekuwa na lift kuanzia enzi zile. Cheap excuses.🚮🚮🚮si kwa sababu ya ushamba,mbeya ilikuwa ni sababu ya kijiografia haikuruhusiwa kujengwa majengo marefu.
kwahiyo rifti zilikuwepo mikoa kibao ikiwemo moshi ya mbali kiukubwa,lakini mbeya haikuwepo.
Nakuru, Jiji letu la NNE, pia hairuhusiwi kujenga majengo marefu yet imekuwa na lift kuanzia enzi zile. Cheap excuses.[emoji706][emoji706][emoji706]
Kwa hivo hilo lenye liliwekwa sio jengo? Mbeya panakaa ovyo sababu mmeshindwa kupajenga, wacheni excuses.wewe ndio unaona excuse mimi nakupa sababu ya msingi.kama mlijenga majengo marefu kitambo yakiwa hayaruhusiwi hivyo hivyo kwanini msiweke rift sasa!!!
sisi hayakuwepo kabisa na majengo yenyewe.
au unataka aerial ya mbeya uone panakaaje???
Kama haparuhusiwi majengo marefu Mbeya mbona jengo hilo lilijengwa? Unajichanganya mzee.wewe ndio unaona excuse mimi nakupa sababu ya msingi.kama mlijenga majengo marefu kitambo yakiwa hayaruhusiwi hivyo hivyo kwanini msiweke rift sasa!!!
sisi hayakuwepo kabisa na majengo yenyewe.
au unataka aerial ya mbeya uone panakaaje???
Kama haparuhusiwi majengo marefu Mbeya mbona jengo hilo lilijengwa? Unajichanganya mzee.
Kwa hivo hilo lenye liliwekwa sio jengo? Mbeya panakaa ovyo sababu mmeshindwa kupajenga, wacheni excuses.
Hahaha TBT. Hii comment imeuwa though. Nicxie hii comment imeweza sana.Hapana mkuu, kuna moja na linapatikana "jiji" la Mbeya. Ilizinduliwa rasmi na maafisa wakuu serikalini na watu wakala na kunywa. Kuna hadi waliobeba mapochopocho kwenda nazo nyumbani baada ya hafla kumalizika mida ya saa kumi na mbili jioni. Bango kubwa liliwekwa mbele ya jengo lenyewe kuashiria siku kuu. Wanenguaji viuno pia hawakukusekana japo kuna baadhi waliteguka viuno pia. Ilikuwa ni hafla moja kubwa kuwahifanyika!
View attachment 1674733View attachment 1674734View attachment 1674735View attachment 1674737View attachment 1674738
My first time in Abu dhabi was in 2011, bana i was amazed by the light shows they had in their buildings, my favorite building half of it was an LED screen, that time is when they were building the etihad towers and the cranes were almost topping out.Great to see that this is becomin a norm in most new Nairobi's skylineLED display of GTC tower
Yeah I am glad Kenya is catching up. Ethiopia has also installed LED display lights on their tallest building. Africa is movin forward slowly but surely.My first time in Abu dhabi was in 2011, bana i was amazed by the light shows they had in their buildings, my favorite building half of it was an LED screen, that time is when they were building the etihad towers and the cranes were almost topping out.Great to see that this is becomin a norm in most new Nairobi's skyline