Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

NSSF site hapo GPO ni kama kuna kitu inaendelea.....hapo ndio kulikua kujengwe building ya floors 61...[emoji91][emoji91] noma sana...kwa sasa iko fenced alreadyView attachment 1772672
Kwenye project ya river estate sasa ndio wanamalizia kufence upande wa kwenye mtoo na kubomoa nyumba moja iliyokua imebaki kwenye site
 
Hawa jamaa lazima waanze kujenga majengo ya kwenda juu maana wenye nchi washagawana ardhi yote.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hii technology wanayotumia nadhani ni mpya hapa EA. Simiti wanayotumia inakauka haraka sana so hakuna kupoteza muda.
Vitu vya kawaida sn, alafu wewe njoo kule kwenye thread yetu pendwa unahitajika kule, kuna mTz ameamua kufanya kazi uliyosema utaifanya endapo Wakenya watakutibua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ina maana foundation nzima ni single slab/footing from which kutachepuka columns.? (kawaida tumezoea kila column na own footing)
 
A one-bedroom unit will be leased at Sh480,000 a month, according to media reports.
 
Achana na media, kwani ni burj khalifa hiyo? πŸ˜‚ BTW, are you referring to Kshs or Tshs??? πŸ€”
Just in .Confirmed from reliable source ksh 480000 per month. Shy short of half a million kenya shillings.😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…