KERO Jengo la abiria SGR Stesheni ya Magufuli viyoyozi havifanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Wanataka kufanya kama mwendokasi ulivyokuwa.

Ijumaa nilisafiri toka Dodoma sikuona wale wahudumu wakipitisha huduma. Inaonekana hawajuwepo kabisa! Yale matangazo ya mara kwa mara ambayo yalikuwa yakitolewa yameshaanza kuwafahamisha abiria yameanza kupungua Sasa hivi ni mwendo wa kimya tu ndani ya treni.
 
Hujuma huanza kidogokidogo, leo AC, kesho nati za reli, keshokutwa daraja limeyumba mwisho ajali mbaya no action
 
Duuuh

Kwahiyo lock ya mlango ikibuma pia atumbuliwe

Basi sawa
 
Dah kuna siku mtamlaumu mpaka vyooni msipokuta tishu

Yeye kama kiongozi mkuu hawez kujua kila kitu

Ila pia na ww Una ela yako ya Kodi kwenye ule mradi so unaweza kwenda physically kufatilia shida ni kitu gani
 
Si lazima wajazane Dar,wahamie Tukuyu
 
Dah kuna siku mtamlaumu mpaka vyooni msipokuta tishu

Yeye kama kiongozi mkuu hawez kujua kila kitu

Ila pia na ww Una ela yako ya Kodi kwenye ule mradi so unaweza kwenda physically kufatilia shida ni kitu gani
afatilie yeye kwani wanamlipa? uyo unaesema ni kiogizi hawezi jua kazi yake ni nini? kukaa ofisini tu?
 
Dah kuna siku mtamlaumu mpaka vyooni msipokuta tishu

Yeye kama kiongozi mkuu hawez kujua kila kitu

Ila pia na ww Una ela yako ya Kodi kwenye ule mradi so unaweza kwenda physically kufatilia shida ni kitu gani
Utetezi gani huu? Mbona mabenk mara zote yanakuwa masafi? Au huko ni nini kinafanya wawe hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…