hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Utetezi gani huu? Mbona mabenk mara zote yanakuwa masafi? Au huko ni nini kinafanya wawe hivyo?
Kaka bank ni Sawa na kituo cha Abiria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utetezi gani huu? Mbona mabenk mara zote yanakuwa masafi? Au huko ni nini kinafanya wawe hivyo?
afatilie yeye kwani wanamlipa? uyo unaesema ni kiogizi hawezi jua kazi yake ni nini? kukaa ofisini tu?
😂 Ipe mwaka mmoja itakuwa kama mabasi ya Mwendokasi full mikangafu.Great thinkers,
Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi?
Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana abiria wanateseka na joto la Dar wakiwa wanasubiria kupanda treni
Great thinkers,
Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi?
Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana abiria wanateseka na joto la Dar wakiwa wanasubiria kupanda treni
Pia soma:Mrejesho: Asante JF! Mkurugenzi Kadogosa aliwasha viyoyozi na kwenye train leo njia nzima kuna viyoyozi
Toka lini umeona jengo jina vioo vitupu halafu halina joto huku kwetu kwenye jua fulu fulu? Ile design waliyofanya haikuwa halisia. Ndio maana lile jengo kipindi hiki litakuwa halikaliki.
Hapo bado lile joto la kuanzia December!
Mbona huo uchafu wa vyoo tunaona hata kwenye ofisi za umma na taasisi nyingi za serekali ambako sio stand? Tuache huko bank labda kwa mtazamo wako nimetoa ulinganifu tofauti. Tuje kwenye vyoo vya mabar ambavyo vinatumiwa na walevi, mbona hivyo vina hali nzuri tu kutokana na kufanyiwa usafi mara kwa mara? Inashindikana vipi kwenye huo mradi mpya na unaoingiza fedha nyingi? Usitetee uzembe, huenda ww ni sehemu ya viongozi wazembe hasa eneo la usafi, hivyo unatetea udhaifu wako.Kaka bank ni Sawa na kituo cha Abiria?
Oyaa dogo kwemaa? Kitambo huonekani jamvin.afatilie yeye kwani wanamlipa? uyo unaesema ni kiogizi hawezi jua kazi yake ni nini? kukaa ofisini tu?
Bibie mbona wewe unakunyaga porini Canada?Watanzania tuliotokea kwenye umasikini hatuwezi kuendesha chochote.
Awe kadogosa au kakubwasa, ni wale wale tu.
Responsibilities zipo kwenye "genes". Siyo darasani.
Apewe Abood au Shabiby muone mambo yatavyonyooka hapo.
Kwani tatizo ni kunya au kuendesha miradi ya umma?Bibie mbona wewe unakunyaga porini Canada?
Hawa nguchiro alio waachia nchi hawa majanga na hasara tu nchiniNimekuja kugundua baadae mwenye maono makubwa sana na nchi hii alikuwa ni Magufuli tu
Ila bibie mbishi. Haya bana endelea kutafuna benefitsKwani tatizo ni kunya au kuendesha miradi ya umma?
kwani wewe unakunya wapi? Au ni mali ya umma?
Mbona huo uchafu wa vyoo tunaona hata kwenye ofisi za umma na taasisi nyingi za serekali ambako sio stand? Tuache huko bank labda kwa mtazamo wako nimetoa ulinganifu tofauti. Tuje kwenye vyoo vya mabar ambavyo vinatumiwa na walevi, mbona hivyo vina hali nzuri tu kutokana na kufanyiwa usafi mara kwa mara? Inashindikana vipi kwenye huo mradi mpya na unaoingiza fedha nyingi? Usitetee uzembe, huenda ww ni sehemu ya viongozi wazembe hasa eneo la usafi, hivyo unatetea udhaifu wako.
Hujuma huanza kidogokidogo, leo AC, kesho nati za reli, keshokutwa daraja limeyumba mwisho ajali mbaya no actio
Huku Mwl, Nyerere Dam kunakosekana kwa kupeleka umemeKuna siku nilipita hapo zile lift hazidanyi kazi wanasema umeme mdogo