TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Niliposema "NI SUALA LA MUDA" mlinishambulia!
Once again
ITS A MATTER OF TIME!
Once again
ITS A MATTER OF TIME!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekosekana kwa sababu hatuwezi kusambaza mpaka tumpe Adani na wenzake!Huku Mwl, Nyerere Dam kunakosekana kwa kupeleka umeme
Hayo matatizo yote usemayo yanafanyika kwenye mabar, maana huko kumejaa walevi, lakini wameweka watu standby kufanya usafi wa hali hiyo. Unakwama wapi?Usafi wa sehemu unaanza na mtumiaji na sio msimamizi
Kama wewe mtumiaji sio msafi then hata msimamizi hawezi kuleta usafi
Mfano vyoo vya uwanja wa taifa, watu wanakojolea kwenye sinki la kunawia mikono je hapo utamlaumu waziri wa michezo?
Mtu anatumia Choo na anashindwa kuflash unataka msimamizi afanye nini?
Awe anashinda mlangoni kila mtu akiingia anaangalia anachofanya?
Before ya kumlaumu kiongozi kwanza tujilaumu Sisi wenyewe watumiaji wa vyoo
Da FaizaFoxy shida iliyopo nitashindwa kuleta siasa kwenye kila kitu. Ukweli ni kuwa miradi mingi haijiendeshi kibiashara.Watanzania tuliotokea kwenye umasikini hatuwezi kuendesha chochote.
Awe kadogosa au kakubwasa, ni wale wale tu.
Responsibilities zipo kwenye "genes". Siyo darasani.
Apewe Abood au Shabiby muone mambo yatavyonyooka hapo.
Hahaha dogo acha vituko wewe jamvin.
1. Abood na Shabiby sio Watanzania?Watanzania tuliotokea kwenye umasikini hatuwezi kuendesha chochote.
Awe kadogosa au kakubwasa, ni wale wale tu.
Responsibilities zipo kwenye "genes". Siyo darasani.
Apewe Abood au Shabiby muone mambo yatavyonyooka hapo.
Vyoo tu vichafu sembuse hiyo waiting area
Huu mradi tunaupa Xmas 2 mbili chaliii
Ova
Watanzania wenye asili ya Kiarabu, biashara ipo ndani ya damu yao. Biashara ya usafirishaji abiria nadhani sina haja ya kukupa darsa kuhusu hao watu.1. Abood na Shabiby sio Watanzania?
2. Abood na Shabibiy ni Watanzania ila wametokea kwenye utajiri?
Umetumia muda mrefu sana kujua hiloNimekuja kugundua baadae mwenye maono makubwa sana na nchi hii alikuwa ni Magufuli tu