Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Nimefika hapo Posta mala nyingi tu na kuingia hapo eneo lao.Imani yao iko wazi na ndio maana sehemu yao wa kuabudu iko wazi katikati ya mji na hawajazuiliwa.
Kama unataka kujiunga nao utafute ratiba zao utapata.
Kama hawana taratibu za kuweka sauti kubwa usiwalazimishe. We fanya yako wao wafanye yao!!!!
Ukiwauliza walinzi hawasemi chochote zaidi ya kukuomba uondoke hilo eneo.
Kama wana nia njema na jamii yetu ni kwanini hawataki kuhojiwa au kuuliziwa shughuri zao?
Ukiuliza wahusika wanasema hawapo "sisi ni walinzi tu haturuhusu asiyehusika kuingia hapa"
Kama sio kufanya biashara haramu, ninini kinachofichwa hapo ?
Au Uchawi.
Kama unahusika sema nije lini unipe hizo ratiba.
La hutakiwi kunijibu.
Freemasonry ni taasisi dhaifu sana kupaswa kuwepo hapa Nchini.
Inawaogopa hadi watoto wadogo.