Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo hicho wakifananisha na vituo vyao vya Nigeria.
Ikumbukwe kituo hiki kilijengwa na kampuni ya mwekezaji mahiri Rostam Aziz. Napenda kumpongeza sana Rostam na naomba azidi kujenga vituo vingi zaidi vya namna hii.
Kwa Jeshi la Polisi naoma na nyie huo uwe mfano bora wa vituo vyenu mnavyopaswa kuvijenga kuanzia sasa.