Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

Ukisoma kichwa cha habari unaweza kudhania huyo Rostam Aziz alijenga kwa fedha za kutoka mfukoni mwake! Kumbe ni mihemko tu ya mtoa mada na hao Wanaijeria wake.
Unapoambiwa mwekezaji unaelewaje? Akili za kimaskini shida sana! Wewe unataka kila kitu upewe bure?
 
Ushawahi kuingia ndani ya mahabusu pia ukaona uzuri wake?
 
Anapongezwa kwa ujenzi kwani alijenga bure...
Kama mwekezaji, sheria inamtaka kufanya hivyo through CSR. Ni sawa na usikie GGM kule Geita imejengea wananchi shule,sio fadhila ile bali ni Sheria inawabana kufanya hivyo.
 
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo...
Hizi propaganda za bongo hatari??kwani vituo vyote vipi hivyo?laiti wangejua hichockituo kipo kwa watu wwziro karibu na ubalozi wa marekani!!v

ipo vituo kibao kama mabanda ya kuku!!na hao polisi sio Wema ,ni kwamba wanaonekanq Wema kwa vile waliyemkamata si raia wa bongo,polisi wetu na majambazi tofauti yao ni kuwa polisi ni majambazi yenye reseni ya kubeba siraha!!
 
Baada ya tukio la kukamatwa kwa msanii wa Nigeria Kizz Daniel, baadhi ya raia wa nchi hiyo kwenye Mitandao ya Kijamii wameonesha hisia tofauti kuhusiana na hali ya kituo cha Polisi alichopelekwa msanii huyo..

(Kituo cha Polisi kinaonekana kama hotel atakuwa salama huko huku akipata kiyoyozi)....huku wengine wakisema vituo vya Polisi Tanzania vinapendeza ni nani aliye tuloga Nigeria??

Hahaaa haa! aiiiiìy hahaha
kwa kicheko cha jiwe[emoji1787][emoji1787]..
Screenshot_20220810-054550_Instagram.jpg
Screenshot_20220810-054618_Instagram.jpg
Screenshot_20220810-054634_Instagram.jpg
Screenshot_20220810-060007_Instagram.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hapo dar kuna vituo ukipelekwa mbona utaelewa niliwahi kuwekwa lockup ndani kuna pikpiki tatu alafu zimepata ajali hiyo harufu ya petrol mpaka nikaomba poo...
Sema ulipita na pochi ya mjamzito ukakandwa na wananchi wenye hasira muda wote na ukaokolewa na polisi wakakuweka mahabusu ya wahalifu.🤣🤣🤣

Hzo pikiiki zilikuwa zimetenda uhalifu ndo wlikuwa amezichukua maelezo wakisubiri vijana wa Kingai wakazibinye starter zao zikiri makosa.

Bongo ni zaidi ya uijuavyo
 
Back
Top Bottom