Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

...😄Kimsingi hapa Tanzania huduma za kijamii ziko vzuri kwa kiasi kikubwa kuliko Nigeria.

Sema wapinzani wa Tanzania huwa hawayaoni mazuri😄
 
Rais wa kwanza wa Botswana alikuwa rangi gani? Soma Geografia na historia yako ya darasa la tano vizuri unless ni kizazi kipya kilichopotea. Mbona unawachukia wairan hivi? Watu na mila na desturi zao na katiba zao zinavyosema. Katiba siyo biblia au Quran ni kitabu dinamic ingawa nchi kama Marekani wenyewe wamejitahidi kuilinda ile ya zamani.

Kuhusu ubaguzi, nani alikuwa mbaguzi kama mwingereza maana yeye ndiye alitawala karibu ulimwengu lakini aligawa watu kwa matabaka. Leo hii angalia bunge la Uingereza rangi zilizomo ni aina ngapi? Je, kuna mhindi anayeweza kugombea urais nchi hii hatakama babu wa babu zake walizaliwa hapa? Je , nani anawania kuwa waziri mkuu wa UK? Asili yake wapi? nimekuuliza Obama ana asili ya wapi na ilikuwaje akawa Rais ?
Katiba za nchi zetu za kuiga wenzetu zina asili ya chuki ndo maana Iran na Tanzania hata India hatuwezi kuwa na kiongozi wa aisili nyingine sababu uroho na visasi vinatawala sana.
Achana nae huyo anasumbuliwa na wivu na chuki za kimaskini

Hajui hata mfumo wa bima ya afya tunaotumia muanzilishi ni Rostam Aziz aliyeanzisha bima ya afya jimboni kwake mwaka 1995 jambo lililomfanya mkapa kuiga na kuingiza serikalini mfumo huo kwa Wafanyakazi
 
Serikali inabidi impe tenda Mwekezaji Rostam kujenga vituo vya namna hii nchi nzima
 
Kituo Ni kizuri lakin ni njia panda ya gerezan usiombe sasa ukaingia gerezani kama mfungwa au mahabusu hali ni mbaya mnoo usiombe usiombe
 
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo hicho wakifananisha na vituo vyao vya Nigeria.

Ikumbukwe kituo hiki kilijengwa na kampuni ya mwekezaji mahiri Rostam Aziz. Napenda kumpongeza sana Rostam na naomba azidi kujenga vituo vingi zaidi vya namna hii.

Kwa Jeshi la Polisi naoma na nyie huo uwe mfano bora wa vituo vyenu mnavyopaswa kuvijenga kuanzia sasa.

View attachment 2319641View attachment 2319642View attachment 2319644
Labda Nigeria ya kizota dodoma
 
Ungepewa wewe kujenga tungekuta kituo kama hicho? Maana shi9da yetu wengi tunaishi kwa kuwaimbia mapambio wengine, wakati ni shidaaa tupu tunapopewa nafasi
 
Ungepewa wewe kujenga tungekuta kituo kama hicho? Maana shi9da yetu wengi tunaishi kwa kuwaimbia mapambio wengine, wakati ni shidaaa tupu tunapopewa nafasi
Kwa uadilifu wangu nisioutilia shaka, nakuhakikishia ningejenga kituo kama hicho au kizuri zaidi ya hicho

Sijapata tu nafasi! kwetu wengine pesa tumezizoea hatuna shida na njaa nazo
 
Wanaija wangejua kama yaliyomo kweli yamo wangefuta comment zao za kusifia hili geshi la polishi....
 
Wanaija wangejua kama yaliyomo kweli yamo wangefuta comment zao za kusifia hili geshi la polishi....
Kwa jinsi jeshi letu lilivyoimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao linastahili sana pongezi

Acheni kubeza tu kwenye ulinzi na usalama, vyombo vyetu ikiwemo Jeshi la Polisi vinajitahidi na kufanya vizuri sana pamoja na vichangamoto vichache ambavyo kiuhalisia lazima vitokee tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki shari wanapajua? Au wanepanaona??
 
Hawajui kilijengwa kwa msaada, ngoja tuwatumie picha ya vituo vingine ndio wakomment vizuri 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom