Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hajui sisi hatujawahi kukanyaga DarHabar bila picha ni umbea
Rangi ya mtu na uraia wake vina uhusiano gani? Acha akili za kindezi....Lakini Rostamu bado ni Asian, hivyo hakuna cha kumtambia Mnigeria hapo, ingekuwa ni mali ya Mwafrika labda hapo ni sawa kujisifu, …
Kituo cha polisi hata kiwe kizuri namna gani, usiombee kwenda ukiwa kama mhalifu. Bora hata ingekuwa shule.Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay...
Vyovyote vile kajenga kituo kizuri ambacho kinaonesha mfano kwa hadi waafrika wenzetu juu ya namna gani kituo cha polisi kinapaswa kujengwa vizuriAnapongezwa kwa ujenzi kwani alijenga bure...