Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

Hiyo nayo ni ofisi au banda la sungura
 
Bahati nzuri yeye bado ni kijana... Malipo atalipwa hapahapa duniani. Kama kweli kuna Mungu atamlipa
 
Jiwe la msingi liliwekwa na Mhe. F. A. Mbowe mwezi wa kwanza 2021.
 
Mungu ibariki Chadema
 
Hii kitu watu wachache sana watakuelewa
 
Wapo makamanda uchwara wamepiga sementi yote naona mchanga mkavu tu hapo ,

Sema kipagale cha bavicha hela zote mbowe amelambia nyagi

USSR
Hela unataka zitoke lumumba? Kila mtu anakula kwa kamba yake manina
 
Ila mbona kama tofali mchanga ulizidi cement.
 
Mungu ibariki CHADEMA.. Mungu msamehe aliyetoa amri ya kuvunja hili jengo
 
Nawasubiri wale waliokua wanasema mama anaiponya nchi waje hapa.
 
Uonevu huleta uasi na hukaribisha maadui wa nje.
 
DC aache uhuni, haya mambo wanafanya vijana wa kijiweni wasio na ajira.
 
Tarifa haijakamilika mkuu, amevunja kwa sababu zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…