Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
 
Alikuwa na roho ya kwanini hakupenda ionekane kuna mwingine zaidi kuliko yeye hivyo alivyozuiwa mara ya kwanza kulibomoa aliumizwa sana na alipoupata urais akaona atimize lengo lake na kuiridhisha nafsi yake kwamba yeye ndio zaidi.
Mtu ukiwa na roho mbaya ya asili unateseka sana.
 
Aisee!
 
Mi nalaani umasikini ndio unaosababisha watu kuwa na roho mbaya mno
 
Mnajifanya mnataka kupoteza legacy.......
ushuzi kweli huu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…