Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kipindi cha jamaa yako kulikuwa na Mahakama? Kama sheria inawaruhusu wakienda sasa wanashindaKwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.