Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
Hakustahili kupewa madaraka makubwa kama ya urais,alifaa kwenye nafasi ambazo kuna mtu wa kumdhibiti pale inapoonekana anaboronga.
 
Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowasa ...matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowasa..

Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
 
Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Huyo jamaa alikuwa anajali sheria? Yeye alikuwa ni kanyaga twende! Unajua huku chini tunalalamika sana kuhusu jamaa, ila chamoto walikuwa wanakiona akina Majaliwa na mawaziri wake, jamaa alikuwa hana staha kabisa, anatukana kila mtu!! Leo hii unapomsikia Majaliwa anakomaa Samia aendelee hadi 2030 ni kwamba haamini hii ahueni aliyopata, and hataki kusikia or kuona mambo waliyopitia yanajirudia 2025! Na 2030 watafanya kila aina ya figisu asiingie tena mtu wa type ya Marehemu
 
Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
 
Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Tahira mwenzako huyu hapa....
 
Back
Top Bottom