Ujue nini wewe boya tu, mkiongopewa kwenye vijiwe vya kahawa na wewe unabeba tu kama dodoki halafu unajifanya kujua.Hehehe...mtoto mchele.mchele utajua nini zaidi ya kupumliwa kisogoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue nini wewe boya tu, mkiongopewa kwenye vijiwe vya kahawa na wewe unabeba tu kama dodoki halafu unajifanya kujua.Hehehe...mtoto mchele.mchele utajua nini zaidi ya kupumliwa kisogoni?
Watanzania tuliongopewa, tukaelewa tukaridhika na tukaupenda huo uongo, kwa nini mnateseka sana?Ujue nini wewe boya tu, mkiongopewa kwenye vijiwe vya kahawa na wewe unabeba tu kama dodoki halafu unajifanya kujua.
Makamba kawajibu huko Twitter nenda kamsome.... Kasema yeye hana muda na fukuza fukuza/tumbua tumbua maana imeleta madhara makubwa huko Tanesco ya mitambo mingi kutofanyiwa zile regular services kwa kuogopa kutumbiliwa maana hizo services lazima mitambo izimwe... Hivyo mamitambo mengi yanapumulia mashine...Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?
Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.Hivi alipo sema libomolewe mara ya kwanza, kabla ya kuwa Raisi - sababu zilikuwa zipi? Maana tusije kuwa tuna changia kwenye uvunjifu wa sheria za nchi!
Tena kweli, kwanini wezi, wabakaji, wauwaji, wanazuiwa kufanya kazi zao? Usikute hii ni roho mbaya ya viongozi na vyombo vya usalama na mahakama. Waache wafanye wanayotaka, maana hii nchi ya demokrasia! Ulaya na Marekani wana uhuru huo, lakini nchi zetu hizi - zimejaa roho mbaya! Ukitaka kujenga barabarani unazuiwa! Si wapite pembeni tu!
Pale Kimara majority walikuwa na court order ya kuzuia ubomoaji wa nyumba zao but bado walivunjiwa kibabe!! Hivi leo hawa watu wakirudi tena mahakamani na kudai haki zao na fidia mtawaona wakorofiii?Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Vp wale watu wa mwanza nao?Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
Mzilankende alikuwa mpuuzi Sana yule yaani sijui alikuwa na laana ya wapi huyu mtu hapa chini 👇Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.
Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.
Kama si uhujumu sijui?
Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Lack of exposureExactly, alikuwa mpenda ligi sanaa...
Hakuna lazima tuongee Ili tusije rudia kumpa Rungu kichaaTusahau yaliyopita tujenge taifa.
Kiongozi mpumbafuMpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.
Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.
Kama si uhujumu sijui?
Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
Kama alivyokuwaa musibaKuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..
Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Kwahiyo Ulitaka hili nalo liachwe! Na lile na hilo, mwisho yote yaachwe, pamoja na ya kwake aliyo pindisha! Imagine, nchi itakuwa vipi!Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
Niliwambia wakati wa uchagizi 2015, niwapime ukichaa lkn wakashindwa kukubali au kukataaKabla ya kuwania urais tupimwe ukichaa
Wanatoa vizuri tuuEnzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?
Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Punguza Mahaba jombaa, watu walikuwa na court order na bado wakavunjiwa.... Hivi unafahamu kwamba ubabe wake huko nyuma imeleta athari kadhaa? Ile Meli ya uvuvi unafahamu kwamba wahusika walilipwa? Kuna kituo cha mafuta kilivunjwa kibabe na mwishowe mhusika alilipwa na kumbuka zote hizo ni kodi zetu. Swali kwako : Hivi angekuwepo ungesikia Membe kashinda kesi na Musiba alipe bilioni 6????? Just be honest...Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
[emoji106][emoji106]Zile nyumba zilibomolewa kukiwa na stop order ya mahakama, fuatilis zaidi ujue
MpumbafuEnzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.
Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?
Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Lingekuwa la shirika au la umma lisingebomolewa siyo?Kwani ilo jengo linawauma nini hasa? Zilibomolewa nyumba huko kimara kibao, pale pembeni kulikuwa na jengo la Wizara ya Maji nalo likabomolewa wala hamyaoengelei ayo lakini kutwa ilo jengo tu la Tanesci tena sio la shirika hapana! Shida nini haswa hapo?