Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Ila kule Mwanza sio nchi hii tunayoongelea? Au ndio Burundi kwenu?Kwahiyo Ulitaka hili nalo liachwe! Na lile na hilo, mwisho yote yaachwe, pamoja na ya kwake aliyo pindisha! Imagine, nchi itakuwa vipi!
Nachoamini ukiwa kiongozi na ukafanya maamuzi fulani kwa eneo fulani basi haupaswi kuwa na double standard. Magu alikuwa na double standard sehemu nyingi sana Hadi kwa watendaji wake unakuta Bashite na akina Hapi na Sabaya wanafanya upuuzi na anawaacha tu na kuwapa sofa hadharani Ila wengine anawafukuza kwa fedheha.
He was too much.