Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Umeniquote vibaya, Nina misimamo mi3 humu;1. Against Marehemu 2. Pro Samia (Kama yeye, siyo chama chake) 3. CCM na Upinzani wote siwaelewi.....
Sina muda wa kufukua makaburi mkuu.

Siku zote uvccm huwa mnabadilika kulingana na mwenendo wa SPONSOR.
 
Tafuta makaburi yote unayoyajua mkuu, ila siku zote hiyo ndiyo misimamo yangu! Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kabisa kuonesha nimechanja (Kabla hata chanjo hazijaja huko TZ), I posted a picture here, unaweza kuifukua pia......
 
Unajua kama aliingilia mchakato wa uuzaji wa nyumba za serikali na kuwauzia nyumba kwa upendeleo baadhi ya watu ambao hawakuwa na sifa ya kuuziwa nyumba hizo akiwemo hawara wake na mdogo wake,pia alihusika na ufisadi katika ununuzi wa boti tena kwa gharama za juu boti iliyokusudiwa kufanya safari zake kati ya Dar na Bagamoyo kwa kununua boti mbovu ambayo haikuwahi kufanya kazi iliyokusudiwa hata siku moja hadi alipokuwa rais kwa kuficha aibu hiyo kubwa aliamua kuitoa kwa jeshi,hiyo ni machache tu lakini kafanya mengi.
Ukiitwa taahi.ra jitafakari sana, maandiko yanasema ficha upumbafu wako usiifiche hekima yako, hakuna kipya uloandika hapo, nifatilie huko nyuma utajua unaargue na nani, hayo tulishiriki huko nyuma kuwaambia myaandike, waziri anauza nyumba? lakini waziri mkuu alikuwa nani vile? vipi kuhusu mchakato mzima bungeni? unajua hao unaoandika kwa niaba yao hapa walochukuwa by then ukilinganisha ni hizo nyumba mbili unazodai za JPM?

Unamfahamu mnufaika wa hiyo unayoiita boti ambayo JPM baada ya kuwa Rais akaitaifisha na kuigawa Jeshini? alisema acheni wazee wapumzike, anzeni kuyaamsha mtafurahi.
 
Jibu swali,jiwe hakuuzia nyumba hawara au aliuzia? Hakununua meli bom au alinunua? mengine unajaribu kutaja wezi wenzie tu
 
Back
Top Bottom