Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Unaanza kuleta opinions badala ya facts.Dingi kama yale maamuzi yangekuwa ya chama Katibu Mkuu asingeondoka, Mkiti aliamua liwalo na liwe lazima Lowasa awe mgombea urais wa chama!! Watu wote walikatazwa kuchukua fomu ya kuwa wagombea Urais. Lowasa alishindana na nani kwenye kura za maoni za CDM?
Kamati kuu ilikuwa wapi kama alifanya maamuzi peke yake ?
Kwani wakati huo CHADEMA kilikuwa na mfumo wa kura za maoni kwa wagombea urais ?