Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Yule kiumbe alikuwa na Roho chafu Sana, ukiwa na Roho chafu huwezi kuwa na maisha marefu,Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.
Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.
Kama si uhujumu sijui?
Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Twende na Samia Hadi 2035