sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Kule mwanza waliambiwa msiwabomolee hawa ndio walionipa kura , kimara mbezi watu wamebomolewa nje ya utaratibu kabisa , mita mia kutoka barabara kuu na hawakupewa hata mia, tena kukiwa na stop order ya mahakama,na jengo nalo limevunjwa pasipo sababu ya msingi yeyote, sheria hua zinatumika baadhi ya sehem alafu sehem nyingine hazitumiki? ,Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Ubaguzi sio kitu kizuri kabisa