Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Kule mwanza waliambiwa msiwabomolee hawa ndio walionipa kura , kimara mbezi watu wamebomolewa nje ya utaratibu kabisa , mita mia kutoka barabara kuu na hawakupewa hata mia, tena kukiwa na stop order ya mahakama,na jengo nalo limevunjwa pasipo sababu ya msingi yeyote, sheria hua zinatumika baadhi ya sehem alafu sehem nyingine hazitumiki? ,
Ubaguzi sio kitu kizuri kabisa
 
Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
We nae hata hujui chochote , zile nyumba zimebomolewa huku kukiwa na stop order ya mahakama
 
Kwani jengo limebomolewa?! Mbona tunalona!? Au mm ndo sielewi?!
 
Kule mwanza waliambiwa msiwabomolee hawa ndio walionipa kura , kimara mbezi watu wamebomolewa nje ya utaratibu kabisa , mita mia kutoka barabara kuu na hawakupewa hata mia, tena kukiwa na stop order ya mahakama,na jengo nalo limevunjwa pasipo sababu ya msingi yeyote, sheria hua zinatumika baadhi ya sehem alafu sehem nyingine hazitumiki? ,
Ubaguzi sio kitu kizuri kabisa
Kisheria, hili linaweza kudhibitiwa?
 
Inasikitisha kwa kweli alikua hashauriki.

Wahenga wanasema "Kenge hasikii mpaka apasuke masikio"
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
We si mwenyekiti mkoa wa mwanza alishasema jibwana alikua na kadi ya milembe
 
Unajadili upumbavu huna maana! Wewe linakuhusu nini hilo jengo unataka kusema alilibomoa tu kwa kaksudi! Au unaofisi yako humo jengoni?
Jengo ni mali ya shirika hivyo kila mtanzania linamuhusu na ndio alilibomoa kwa makusudi kwa lengo la kutaka kuonesha yeye akitaka jambo lake hakuna wa kumzuia kwa sababu alikuwa akiamini yeye ni zaidi kuliko binadamu yeyote.
 
Ukiitwa taahi.ra jitafakari sana, maandiko yanasema ficha upumbafu wako usiifiche hekima yako, hakuna kipya uloandika hapo, nifatilie huko nyuma utajua unaargue na nani, hayo tulishiriki huko nyuma kuwaambia myaandike, waziri anauza nyumba? lakini waziri mkuu alikuwa nani vile? vipi kuhusu mchakato mzima bungeni? unajua hao unaoandika kwa niaba yao hapa walochukuwa by then ukilinganisha ni hizo nyumba mbili unazodai za JPM?

Unamfahamu mnufaika wa hiyo unayoiita boti ambayo JPM baada ya kuwa Rais akaitaifisha na kuigawa Jeshini? alisema acheni wazee wapumzike, anzeni kuyaamsha mtafurahi.
Wewe utakuwa kichaa sio bure.
 
Kimsingi hakuna rais aliyeijenga hii nchi Kama Magufuli hata Nyerere alikuwa na maono lkn uchumi ulimbana Magu kajenga nchi bwana hajapata kutokea mwingine,tusifu tu lkn hata tunaowasifu wanaujua ukweli.
 
Ukifanya mazuri mengi lakini ukiua mara moja tu, mkono wa sheria uko juu yako.
 
Huyo jamaa alikuwa anajali sheria? Yeye alikuwa ni kanyaga twende! Unajua huku chini tunalalamika sana kuhusu jamaa, ila chamoto walikuwa wanakiona akina Majaliwa na mawaziri wake, jamaa alikuwa hana staha kabisa, anatukana kila mtu!! Leo hii unapomsikia Majaliwa anakomaa Samia aendelee hadi 2030 ni kwamba haamini hii ahueni aliyopata, and hataki kusikia or kuona mambo waliyopitia yanajirudia 2025! Na 2030 watafanya kila aina ya figisu asiingie tena mtu wa type ya Marehemu
Wale vizuri Bila bughudha
 
Back
Top Bottom