Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Jamaa alikuwa na kiburi sana, lile jengo binafsi nilikuwa nalipenda sna , kwanza lilikuwa linaipendezesha ubungo
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Kwa sababu lilijengwa ndani ya hifadhi milki ya Barabara , ni uchafu lilijengwa pahala pasipostahili kuwa na structure yeyote ya kudumu. Ni kama unavoona vibanda vya matching guys vikibomolewa, halinaaa tofauti. Next time badala ya kuleta uzi chonganishi jifunze kutii na kufuata sheria. LILIBOMOELWA kwa mujibu wa sheria
 
Jibu swali,jiwe hakuuzia nyumba hawara au aliuzia? Hakununua meli bom au alinunua? mengine unajaribu kutaja wezi wenzie tu
Hakununua na wala hakuuza just like vile hakuvunja nyumba zenu na jengo la TANESCO akiwa waziri kwa sababu hakuwa na ubavu wa kwenda kinyume na wavunjifu wa sheria na watetea ushoga, udhalimu na ufisadi.
 
Tafuta makaburi yote unayoyajua mkuu, ila siku zote hiyo ndiyo misimamo yangu! Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kabisa kuonesha nimechanja (Kabla hata chanjo hazijaja huko TZ), I posted a picture here, unaweza kuifukua pia......
Nimekwambia sina muda wa kufukua makaburi ya uvccm mimi
 
Nimeuliza tu aliamua mwenyewe peke yake ?
Yes, asingeamua peke yake Slaa asingeondoka kwa namna alivyoondoka (Kumbuka hakuna connection imewahi kutokea nchi hii kwenye vyama vya upinzani kati ya Mkiti na Katibu kama ya Slaa na Mbowe)
 
Kwa sababu lilijengwa ndani ya hifadhi milki ya Barabara , ni uchafu lilijengwa pahala pasipostahili kuwa na structure yeyote ya kudumu. Ni kama unavoona vibanda vya matching guys vikibomolewa, halinaaa tofauti. Next time badala ya kuleta uzi chonganishi jifunze kutii na kufuata sheria. LILIBOMOELWA kwa mujibu wa sheria
Pumbavu unafikiri pusi wa nyumbani kwako sisi.
Mbele kuna mtambo wa kufua umeme 45MW kwa nini haujabomolewa?
Halafu mbona barabara haijapita hapo kwenye jengo lililobomolewa.
Hadithi zako wahadithie pimbi wenzio.
 
Yes, asingeamua peke yake Slaa asingeondoka kwa namna alivyoondoka (Kumbuka hakuna connection imewahi kutokea nchi hii kwenye vyama vya upinzani kati ya Mkiti na Katibu kama ya Slaa na Mbowe)
Nimeuliza tu aliamua peke yake ?
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
ila yule jamaa aliwafanya watu wajiarishie kwenye skirt na suruali live.

Nakumbuka hotuba yake ya mwisho kuna maza flani hivi wa serikali alimsomea risala mbele yake kwamba, wanadaiwa zaidi ya kama millioni 100 na CRDB anamwomba magu awape pesa kadhaa wakalipe

Magu alivyomjibu sasa kwa kufoka; Hizo pesa mtazitapika na mtajua ni wapi pakuzipata na nawapa siku kadhaa murudishe zote.

Mwanamama alinywea, akayumba bado kidogo angeanguka. Nahisi siku hiyo aliacha uharo kwenye skirt.

Ila yule jamaa alikuwa komesha hakutaka mambo ya kipumbavu wala kubembelezana. Kuna watu ni wapumbavu yafaa kushughulikiwa na kuendeshwa kwa staili ya Magu.
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
kwa hiyo ulitaka hadi hiyo barabara pia ikatize katikati ya jengo? ili tuwe kama ulaya si eti? pumba za wapi hizi?
 
Pumbavu unafikiri pusi wa nyumbani kwako sisi.
Mbele kuna mtambo wa kufua umeme 45MW kwa nini haujabomolewa?
Halafu mbona barabara haijapita hapo kwenye jengo lililobomolewa.
Hadithi zako wahadithie pimbi wenzio.
Kuna mtambo gani usawa wa jengo la Tanesco? Au mtambo gani wa umeme uko mdani yq hifadhu ya barabara?
 
Unajua maamuzi ya chama yanafaywa na nani ?
Dingi kama yale maamuzi yangekuwa ya chama Katibu Mkuu asingeondoka, Mkiti aliamua liwalo na liwe lazima Lowasa awe mgombea urais wa chama!! Watu wote walikatazwa kuchukua fomu ya kuwa wagombea Urais. Lowasa alishindana na nani kwenye kura za maoni za CDM?
 
Back
Top Bottom