Serikali naona imepangua uongozi wa TANESCO ikiwa ni bodi na watendaji wote.
Lakini hao ni kuwaonea tu.
Tatizo ni KALEMANI and Co.
Hao washitakiwe , kwa kweli walitumia vibaya dhamana yao ya uongozi.
True, waliochukuliwa hatua si waamuzi wakujenga mammoth structures kula Chato.
lakini tunashukuru mama Samia kwa kusikia vilio vya sisi walipa kodi.Kodi zetu zitumike vizuri.
Kalemani lazima achukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya madaraka.