JENGO la tatu la abiria (Terminal III) katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki

JENGO la tatu la abiria (Terminal III) katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki

Nadhani ndo inayoongoza kwa ukubwa na uzuri Afrika Mashariki atleast sasa tuna vitu vya kujivunia tukiutoa Mlima Kilimanjaro
 
Ulikwishafika Jomo Kenyatta ama unaongea tu? Nimepita JKIA jana. Hii terminal yetu ya Julius Nyerere ni nzuri mara 100 kuliko JKIA. Hili halihitaji siasa. Linahitaji tu akili timamu.

Haujafikia ule wa Jomo Kenyata hata nusu yake.
 
Jengo la tatu la abiria (Terminal 111) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam litaanza kutumika mwezi Mei mwaka huu na linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki, zikiwamo 245 za moja kwa moja litakapoanza kutumika.
 
View attachment 1059922

Hiyo picha imewahi kuwekwa humu ikasemekana ni terminal ya nchi nyingine
 
Juzi hapa raisi hapa kateua mkurugenzi mpya TAA tukisema mnaweka watu wasio na qualification sahihi kwenye hizi nafasi mndhani tunajiripokea tu.

Jengo ukiliangalia bado lina wajenzi wanamalizia

Recruitment ndio kwanza imetangazwa

Hao wafanyakazi wapya induction wamepewa lini?
Training ya front line services wamepewa?
Management imejiridhisha vipi hao watu wana skills za kutoa huduma yenye kiwango?

Ni hivi its all a matter of time kabla atujasikia malalamiko, but then this is Tanzania 'tia maji, tia maji; itaivatu'.
 
Back
Top Bottom