RUKIA MBONDE
Member
- Mar 7, 2019
- 64
- 50
Nadhani ndo inayoongoza kwa ukubwa na uzuri Afrika Mashariki atleast sasa tuna vitu vya kujivunia tukiutoa Mlima Kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zitawamaliza.Haujafikia ule wa Jomo Kenyata hata nusu yake.
Haujafikia ule wa Jomo Kenyata hata nusu yake.
Unafananisha terminal 3 na takatakaHaujafikia ule wa Jomo Kenyata hata nusu yake.
mara ya mwisho terminal 3 umeiona lini?Haujafikia ule wa Jomo Kenyata hata nusu yake.
Ndio MzeeHumo ni ndani ya jengoView attachment 1058828
Endeleeni kudanganya Hostages.Unafananisha terminal 3 na takataka
Mmm mbona hiyo terminal tangu kipindi cha JK.....Au vip?View attachment 1059922
Jengo la tatu la abiria (Terminal 111) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam litaanza kutumika mwezi Mei mwaka huu na linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki, zikiwamo 245 za moja kwa moja litakapoanza kutumika.
Acha wehuMatunda ya uongozi wa awamu ya tano chini ya JPM
Acha wehu
Jengo limeanza chini ya JK na lilitakiwa limalizike 2015 kabla ya uchaguzi
Lilikuwa chini ya Mwakyembe kama Waziri wa Uchukuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini halikukamilika kabla ya uchaguzi?Acha wehu
Jengo limeanza chini ya JK na lilitakiwa limalizike 2015 kabla ya uchaguzi
Lilikuwa chini ya Mwakyembe kama Waziri wa Uchukuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha imewahi kuwekwa humu ikasemekana ni terminal ya nchi nyingineView attachment 1059922
Jengo la tatu la abiria (Terminal 111) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam litaanza kutumika mwezi Mei mwaka huu na linatarajiwa kutengeneza ajira lukuki, zikiwamo 245 za moja kwa moja litakapoanza kutumika.
Kiongozi, ni Terminal III siyo 111View attachment 1059922