Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile

====

A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims.

Source: source of Ukrainska Pravda in the Main Directorate of Intelligence of Ukraine

Details: According to the source of Ukrainska Pravda, the operation was carried out by Ukrainian military intelligence.

There is currently no clear information on the scale of destruction or casualties.

The governor of Kursk Oblast of the Russian Federation, Roman Starovoit, claims that "the roof was slightly damaged" as a result of this attack.

Background: Earlier it was reported that an unidentified drone attacked the city centre of Kursk in Russia on 24 September, its official city day, targeting an office building.

The source of Ukrainska Pravda, in turn, noted that it was a direct hit to the building.

Pravda
 
Nakazia 🥱🥱🥱
Screenshot_20230924-174031.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii vita urusi alikosea kutumia mabavu kuwapiga watu wenye umoja na mshikamano. Angetumia akili kubwa hii vita angeimaliza ndani ya sekunde. Ona saasa ka nchi kadogo kanamsimanga hadi aibuu. Hii vita urusi arudi nyuma ajipange upyaa, vinginevyo ataumiaa zaidiii
 
Acha kujidanganya. Ukraine kwa sasa ni kama mfa maji. Anachokifanya sasahivi ni kutapatapa tu kuwapa hope nyinyi wafia westerners

Unajua kwanini mrus hakurupuki kuiteketeza Ukraine? Mwamba putin ana akili kubwa sana na hayo mnayoyaona Urusi walishajua yatatokea na wanajua jinsi ya kuyamaliza. Vuteni subra muda utatoa majibu
 
Acha kujidanya. Ukraine kwa sasa ni kama mfa maji. Anachokifanya sasahivi ni kutapatapa tu kuwapa hope nyinyi wafia westerners

Unajua kwanini mrus hakurupuki kuiteketeza Ukraine? Mwamba putin ana akili kubwa sana na hayo mnayoyaona Urusi walishajua yatatokea na wanajua jinsi ya kuyamaliza. Vuteni subra muda utatoa majibu

Aiteketeze Ukraine kwa kutumia nini kingine maana hamna ambacho hajatumia kasoro manyuklia, na yenyewe akithubutu Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia.
 
Hii vita urusi alikosea kutumia mabavu kuwapiga watu wenye umoja na mshikamano. Angetumia akili kubwa hii vita angeimaliza ndani ya sekunde. Ona saasa ka nchi kadogo kanamsimanga hadi aibuu. Hii vita urusi arudi nyuma ajipange upyaa, vinginevyo ataumiaa zaidiii
Hapo sio Ukraine ni NATO na marekani ndio wanapigana na mrusi, ila ameongea FM wa Russia kwenye UN summit kuwa US na allies wake wako direct kwenye vita against Russia , Ukraine hawezi kitu. Sasa wanakoenda hakuna namna Russia ataruhusu kushindwa Inaweza isiwepo Ukraine ya kujiunga NATO labda zelesk binafsi ndio ajiunge nato
 
Urusi hiyo vita ilishamshinda. Kwani wakati anavamia hakujua kama marekani na nato kuwa wataingilia? Halafu kumbuka putini alitoa vitisho eti atakaeingilia vita yake na ukraine atampiga. Sasa mpaka leo kunanchi nyingi ziko live kuisaidia ukraine live live, lakini hatujaona putini akiwapiga hata kidogo. Putini akubali tu alikurupuka.
 
Hii vita urusi alikosea kutumia mabavu kuwapiga watu wenye umoja na mshikamano. Angetumia akili kubwa hii vita angeimaliza ndani ya sekunde. Ona saasa ka nchi kadogo kanamsimanga hadi aibuu. Hii vita urusi arudi nyuma ajipange upyaa, vinginevyo ataumiaa zaidiii
Naam nasisitiza na kuongeza hapo, Urusi arudi nyuma na atafute namna nzuri ya kuishi na majirani zake pasipo kutumia nguvu kama afanyavyo sasa.
 
Back
Top Bottom