bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Vita hainaga mshindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiombe Urusi kutumia nyuklia bro, nakuhakikishia hakuna mbuzi yyte atakae pata ujasiri wa kurusha Nyuklia Urusi, sema kelele za kuionea huruma Ukrein zitakuwa nyingi, lakini nakuhakikishia hakuna na wala hakuna atakaepata ujasiri wa kuipiga Urusi Nyuklia eti kisa ni kuisaidia Ukrein, wazungu bado hawajakuwa tayari kufa.Aiteketeze Ukraine kwa kutumia nini kingine maana hamna ambacho hajatumia kasoro manyuklia, na yenyewe akithubutu Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia.
Haya ma drone ambayo Huwa hayaui watu ni upumbavu wakati Russia Kila ikipiga bomu lazima makumi ya watu wafe.Bora tuu wakaacha mama Haina maana zaidi ya kuchochea hasira za kina Putin.Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile
====
A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims.
Source: source of Ukrainska Pravda in the Main Directorate of Intelligence of Ukraine
Details: According to the source of Ukrainska Pravda, the operation was carried out by Ukrainian military intelligence.
There is currently no clear information on the scale of destruction or casualties.
The governor of Kursk Oblast of the Russian Federation, Roman Starovoit, claims that "the roof was slightly damaged" as a result of this attack.
Background: Earlier it was reported that an unidentified drone attacked the city centre of Kursk in Russia on 24 September, its official city day, targeting an office building.
The source of Ukrainska Pravda, in turn, noted that it was a direct hit to the building.
Pravda
Zipo drone kubwa zenye kubeba mabomu makubwa ila nchi chache zinamilikiKwani hizo drone haziwezi kubeba mabomu mazito ili bomu likishuka liteketeze jengo zima?
Usiombe Urusi kutumia nyuklia bro, nakuhakikishia hakuna mbuzi yyte atakae pata ujasiri wa kurusha Nyuklia Urusi, sema kelele za kuionea huruma Ukrein zitakuwa nyingi, lakini nakuhakikishia hakuna na wala hakuna atakaepata ujasiri wa kuipiga Urusi Nyuklia eti kisa ni kuisaidia Ukrein, wazungu bado hawajakuwa tayari kufa.
Haya ma drone ambayo Huwa hayaui watu ni upumbavu wakati Russia Kila ikipiga bomu lazima makumi ya watu wafe.Bora tuu wakaacha mama Haina maana zaidi ya kuchochea hasira za kina Putin.
Asante kwa kumaliza utata. Kwa sababu Umeweka link ya taarifa yenye maelezo ya kutosha kama nilivyoyanukuu hapa chiniSasa hivi Ukraine wanajipigia popote Russia wanapopakusudia🤔
....
![]()
Ukraineâs Defence Intelligence attacks FSB building and oil refinery in Russiaâs Kursk with drones
A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims.www.pravda.com.ua
Hamna ni kubwa japo sio sana.Ni ndogo kama.zile za kupiga picha kwenye ukumbi harusin
Ulielewa alichokisema? Au unadhani vita ni kurushiana ngumi mtaani? Akili zako wewe,basi tuUrusi hiyo vita ilishamshinda. Kwani wakati anavamia hakujua kama marekani na nato kuwa wataingilia? Halafu kumbuka putini alitoa vitisho eti atakaeingilia vita yake na ukraine atampiga. Sasa mpaka leo kunanchi nyingi ziko live kuisaidia ukraine live live, lakini hatujaona putini akiwapiga hata kidogo. Putini akubali tu alikurupuka.
Nakukubali sana mkuu.
Kwahiyo Urusi anaionea huruma Ukraine huku akipoteza maelfu ya askari wake?Usiombe Urusi kutumia nyuklia bro, nakuhakikishia hakuna mbuzi yyte atakae pata ujasiri wa kurusha Nyuklia Urusi, sema kelele za kuionea huruma Ukrein zitakuwa nyingi, lakini nakuhakikishia hakuna na wala hakuna atakaepata ujasiri wa kuipiga Urusi Nyuklia eti kisa ni kuisaidia Ukrein, wazungu bado hawajakuwa tayari kufa.
Ebu tuwe tunaweka ushabiki pemben kigodo. Hii SO ilitakiwa ichukue 72 hrs. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Russia. Ameishamaliza mchezo. Lakin mpaka Sasa huu ni mwaka wa pili.Acha kujidanganya. Ukraine kwa sasa ni kama mfa maji. Anachokifanya sasahivi ni kutapatapa tu kuwapa hope nyinyi wafia westerners
Unajua kwanini mrus hakurupuki kuiteketeza Ukraine? Mwamba putin ana akili kubwa sana na hayo mnayoyaona Urusi walishajua yatatokea na wanajua jinsi ya kuyamaliza. Vuteni subra muda utatoa majibu
Wewe ulie elewa msaidie sasa bwana putini, kwa sasa yuko anasiginwa ndani na njee.Ulielewa alichokisema? Au unadhani vita ni kurushiana ngumi mtaani? Akili zako wewe,basi tu
Sawa mrusi mweusiAcha kujidanganya. Ukraine kwa sasa ni kama mfa maji. Anachokifanya sasahivi ni kutapatapa tu kuwapa hope nyinyi wafia westerners
Unajua kwanini mrus hakurupuki kuiteketeza Ukraine? Mwamba putin ana akili kubwa sana na hayo mnayoyaona Urusi walishajua yatatokea na wanajua jinsi ya kuyamaliza. Vuteni subra muda utatoa majibu
Majeshi ya Russia yataitapika Ukraine. Suala la muda tu mkuu, tuendelee kuomba uzima tuone tamati yake.Ebu tuwe tunaweka ushabiki pemben kigodo. Hii SO ilitakiwa ichukue 72 hrs. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Russia. Ameishamaliza mchezo. Lakin mpaka Sasa huu ni mwaka wa pili.
Kwa hiyo Putin anapenda kurefusha vita Ili aendelee kutumia pesa ndefu?
Hii Kwa ufupi Putin hakutegemea Hali ingekua hivi
Ni funzo kwetu, tuwe makini na jirani zetu hasa wembamba warefuDah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile