Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Anarefusha ili muipatepate fresh. Sasahivi uchumi wa ulaya unapumulia gasi. Marekani ndio balaa. Mwamba Putin ameshatoa amri kwa Saudia kupunguza uzalishaji wa mafuta😂😂😂 na ngano kutoka Ukraine ameipoga koki🤣🤣🤣. Naombea mwamba Putini hii operation aipeleka mdogomdogo mapaka maji muite mmaEbu tuwe tunaweka ushabiki pemben kigodo. Hii SO ilitakiwa ichukue 72 hrs. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Russia. Ameishamaliza mchezo. Lakin mpaka Sasa huu ni mwaka wa pili.
Kwa hiyo Putin anapenda kurefusha vita Ili aendelee kutumia pesa ndefu?
Hii Kwa ufupi Putin hakutegemea Hali ingekua hivi