Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

Aiteketeze Ukraine kwa kutumia nini kingine maana hamna ambacho hajatumia kasoro manyuklia, na yenyewe akithubutu Urusi itafutwa kwenye uso wa dunia.
Usiombe Urusi kutumia nyuklia bro, nakuhakikishia hakuna mbuzi yyte atakae pata ujasiri wa kurusha Nyuklia Urusi, sema kelele za kuionea huruma Ukrein zitakuwa nyingi, lakini nakuhakikishia hakuna na wala hakuna atakaepata ujasiri wa kuipiga Urusi Nyuklia eti kisa ni kuisaidia Ukrein, wazungu bado hawajakuwa tayari kufa.
 
Haya ma drone ambayo Huwa hayaui watu ni upumbavu wakati Russia Kila ikipiga bomu lazima makumi ya watu wafe.Bora tuu wakaacha mama Haina maana zaidi ya kuchochea hasira za kina Putin.
 
Kwani hizo drone haziwezi kubeba mabomu mazito ili bomu likishuka liteketeze jengo zima?
Zipo drone kubwa zenye kubeba mabomu makubwa ila nchi chache zinamiliki
 

Urusi haina jeuri ya kutumia nyuklia, itakua almagedon yake na kufutika kwenye ulimwengu huu, hata Putin mwenyewe kwanza hana uwezo wa hiyo amri, lazima iridhiwe na wakuu jeshini ambao wenyewe wanapenda maisha hawataki kufa na familia zao, watampiga mara moja akithubutu kuamrisha kitu kama hicho.

Kwa sasa Urusi imetafuta pakutokea kwenye huu ugomvi imeshindwa, ni aibu kila siku....
 
Haya ma drone ambayo Huwa hayaui watu ni upumbavu wakati Russia Kila ikipiga bomu lazima makumi ya watu wafe.Bora tuu wakaacha mama Haina maana zaidi ya kuchochea hasira za kina Putin.

Urusi hupiga bembea za watoto na uraiani, sema siku hizi wamedhibitiwa, kila wanachotuma kinashushwa, wameshindwa kupigana kijeshi na kuhamia kulenga raia.
 
Asante kwa kumaliza utata. Kwa sababu Umeweka link ya taarifa yenye maelezo ya kutosha kama nilivyoyanukuu hapa chini
===

There is currently no clear information on the scale of destruction or casualties.

The governor of Kursk Oblast of the Russian Federation, Roman Starovoit, claims that "the roof was slightly damaged" as a result of this attack.
 
Ulielewa alichokisema? Au unadhani vita ni kurushiana ngumi mtaani? Akili zako wewe,basi tu
 
Kwahiyo Urusi anaionea huruma Ukraine huku akipoteza maelfu ya askari wake?
 
Ebu tuwe tunaweka ushabiki pemben kigodo. Hii SO ilitakiwa ichukue 72 hrs. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Russia. Ameishamaliza mchezo. Lakin mpaka Sasa huu ni mwaka wa pili.

Kwa hiyo Putin anapenda kurefusha vita Ili aendelee kutumia pesa ndefu?

Hii Kwa ufupi Putin hakutegemea Hali ingekua hivi
 
Sawa mrusi mweusi
 
Fuatilia kinachofanywa na Russia upande wa pili nchini Ukraine!
 
Vidrone vya kukwangua mabati ya ofisi za wataalam usiwe unatuletea habari zake
 
Majeshi ya Russia yataitapika Ukraine. Suala la muda tu mkuu, tuendelee kuomba uzima tuone tamati yake.
 
Ukraine ana nguvu gani za kuipiga urusi bila msaada wa nchi za NATO? Urusi amalize mchezo, ashushe vitu vizito ukraine na kwa hao wanaoisaidia ukraine ili vita iishe. Kama mbwa na iwe mbwa marekani ionjeshwe shubiri kwa kuisaidia ukraine. Pyongyang hima msaidieni jamaa yenu mrusi mpeni msaada ainyuke marekani
 
Ni funzo kwetu, tuwe makini na jirani zetu hasa wembamba warefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…