Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.
Haya mambo hutokea kote kote.
Hapa meli na vivuko vinazama sana, majengo kadhaa yalianguka kipindi cha mwanzo cha Kikwete, tukajitahidi kuzuwia kwenye majengo bado vyombo vya majini.Kuna majanga ya asili kama vile mafuriko nk,
Ila majengo yanaporomoka Kenya kila Wakati, why?? Rushwa na wizi uliokithiri, Hawajali maisha ya mtu kabisa.
Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.
Haya mambo hutokea kote kote.
Kuna majanga ya asili kama vile mafuriko nk,
Ila majengo yanaporomoka Kenya kila Wakati, why?? Rushwa na wizi uliokithiri, Hawajali maisha ya mtu kabisa.
Na majengo hayadondoki kila kukichaTz=LDC=Hermit=Cummunistan=FPS
Acha kulea uzembe, uzembe ni uzembe haijalishi umetokea nchi gani, kama huko Ziwa Victoria hiyo ajali imesababishwa na uzembe, lazima watu wapaze sauti ili isitokeee tena.Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.
Haya mambo hutokea kote kote.
Tanzania tukipata matatizo huwa tunakaa chini na kujaribu kuzuia isitokee tena, au kupunguza" frequency ", Kenya hawajali kabisa, haiwezikani majumba yanaporomoka kila kukicha na hakuna linalofanyika, taja nchi yoyote hapa Afrika ambayo majengo yanaporomoka kama Kenya.Hapa meli na vivuko vinazama sana, majengo kadhaa yalianguka kipindi cha mwanzo cha Kikwete, tukajitahidi kuzuwia kwenye majengo bado vyombo vya majini.
Huo ni msiba wa kujitakia, hauna rambirambi.Admin3 mbona kumkubali huyu aposti siasa kwenye msiba?
Nadhani aliyekuzaa anastahili hicho cheo cha upumbavuhicho kijamaa ni kipumbavu sana, wakat flani unajiuliza kama kweli ni mtanzania.......
bongo hapa ajali hazikomi,sijui atasemaje...... takataka zingine hata kuitetea ccm hazifai kabisa sijui mhutu huyu
hicho kijamaa ni kipumbavu sana, wakat flani unajiuliza kama kweli ni mtanzania.......
bongo hapa ajali hazikomi,sijui atasemaje...... takataka zingine hata kuitetea ccm hazifai kabisa sijui mhutu huyu
Mchawi sikuzote upenda kutoa au kupewa pole wakati yeye ndiye anaye sababisha majangaAcha kulea uzembe, uzembe ni uzembe haijalishi umetokea nchi gani, kama huko Ziwa Victoria hiyo ajali imesababishwa na uzembe, lazima watu wapaze sauti ili isitokeee tena.
Kenya majumba kuporomoka haipiti miezi sita, na hakuna hatua zozote zinazochujuliwa kudhibiti hilo tatizo, unataka tuendelee kuwapa pole hadi lini?. Ninakuhakikishia haitofika April 2020 lazima jengo lingile litaporomoka hapo Nairobi.
Hili ni ghorofa la saba kuporomoka ndani ya miaka mitatu.A six-storey building collapsed on the morning of Friday, December 6th at Embakasi's Tassia area, Nairobi County.
According to reports, several residents are feared to be trapped in the building.
Maengineer wa huko kenya vipi??? Mbona mijengo inaporomoka tu???
50% of Nairobi buildings are not fit for human habitation.
90% of Dar residential is slumish and substandard. Hapa it's a fact.