Jengo laanguka Kenya

Jengo laanguka Kenya

Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.

Haya mambo hutokea kote kote.

Kuna majanga ya asili kama vile mafuriko nk,
Ila majengo yanaporomoka Kenya kila Wakati, why?? Rushwa na wizi uliokithiri, Hawajali maisha ya mtu kabisa.
 
Hapa meli na vivuko vinazama sana, majengo kadhaa yalianguka kipindi cha mwanzo cha Kikwete, tukajitahidi kuzuwia kwenye majengo bado vyombo vya majini.
 
hicho kijamaa ni kipumbavu sana, wakat flani unajiuliza kama kweli ni mtanzania.......

bongo hapa ajali hazikomi,sijui atasemaje...... takataka zingine hata kuitetea ccm hazifai kabisa sijui mhutu huyu
Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.

Haya mambo hutokea kote kote.
 
Tunasubiri zile expansion joints za hostels za magufuli nazo zifyatuke!
 
Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.

Haya mambo hutokea kote kote.
Acha kulea uzembe, uzembe ni uzembe haijalishi umetokea nchi gani, kama huko Ziwa Victoria hiyo ajali imesababishwa na uzembe, lazima watu wapaze sauti ili isitokeee tena.

Kenya majumba kuporomoka haipiti miezi sita, na hakuna hatua zozote zinazochujuliwa kudhibiti hilo tatizo, unataka tuendelee kuwapa pole hadi lini?. Ninakuhakikishia haitofika April 2020 lazima jengo lingile litaporomoka hapo Nairobi.
 
Hapa meli na vivuko vinazama sana, majengo kadhaa yalianguka kipindi cha mwanzo cha Kikwete, tukajitahidi kuzuwia kwenye majengo bado vyombo vya majini.
Tanzania tukipata matatizo huwa tunakaa chini na kujaribu kuzuia isitokee tena, au kupunguza" frequency ", Kenya hawajali kabisa, haiwezikani majumba yanaporomoka kila kukicha na hakuna linalofanyika, taja nchi yoyote hapa Afrika ambayo majengo yanaporomoka kama Kenya.
 
hicho kijamaa ni kipumbavu sana, wakat flani unajiuliza kama kweli ni mtanzania.......

bongo hapa ajali hazikomi,sijui atasemaje...... takataka zingine hata kuitetea ccm hazifai kabisa sijui mhutu huyu
Nadhani aliyekuzaa anastahili hicho cheo cha upumbavu
 
hicho kijamaa ni kipumbavu sana, wakat flani unajiuliza kama kweli ni mtanzania.......

bongo hapa ajali hazikomi,sijui atasemaje...... takataka zingine hata kuitetea ccm hazifai kabisa sijui mhutu huyu

Ukiruhusu Jazba jazba itumike kuchangia mada kama hizi hutaweka vizuri hoja, badala yake utaexpose upumbavu wako,
 
Acha kulea uzembe, uzembe ni uzembe haijalishi umetokea nchi gani, kama huko Ziwa Victoria hiyo ajali imesababishwa na uzembe, lazima watu wapaze sauti ili isitokeee tena.

Kenya majumba kuporomoka haipiti miezi sita, na hakuna hatua zozote zinazochujuliwa kudhibiti hilo tatizo, unataka tuendelee kuwapa pole hadi lini?. Ninakuhakikishia haitofika April 2020 lazima jengo lingile litaporomoka hapo Nairobi.
Mchawi sikuzote upenda kutoa au kupewa pole wakati yeye ndiye anaye sababisha majanga
Badala ya kupoteza muda kupeana pole bora kukosoa msingi wa tatizo lenyewe
 
A six-storey building collapsed on the morning of Friday, December 6th at Embakasi's Tassia area, Nairobi County.

According to reports, several residents are feared to be trapped in the building.

Maengineer wa huko Kenya vipi? Mbona mijengo inaporomoka tu?
 
Attachments

  • 337691_8279b332faf1d284fe3f3a4e890e7a7d.png
    337691_8279b332faf1d284fe3f3a4e890e7a7d.png
    86 KB · Views: 1
A six-storey building collapsed on the morning of Friday, December 6th at Embakasi's Tassia area, Nairobi County.
According to reports, several residents are feared to be trapped in the building.

Maengineer wa huko kenya vipi??? Mbona mijengo inaporomoka tu???
Hili ni ghorofa la saba kuporomoka ndani ya miaka mitatu.

Kenya ufisadi mpaka ktk Majengo lol
 
Kenya majengo yao mengi sub standard
 
Back
Top Bottom