game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Mkuu haya mambo siyo ya kushabikia namna hii, tuwape pole, tuomboleze wote kama janga lililo sababishwa na watu kule Ziwa Victoria Kivuko kilichozama.
Haya mambo hutokea kote kote.
Kuna majanga ya asili kama vile mafuriko nk,
Ila majengo yanaporomoka Kenya kila Wakati, why?? Rushwa na wizi uliokithiri, Hawajali maisha ya mtu kabisa.