Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wamekalia kupiga kizungu cha ugoko tu huku majengo yanaporomoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasema nini????GERALD710
Wewe umekuwa ukibishana na mimi jana tu kuhusu mighorofa yenu mibovu. Ulikuwa unasema ile mijengo mibovu ni ya 2015. Nilikuuliza kwa hiyo ile mijengo mliipeleka wapi? Hukujibu, ukaingia mtini. Mbaya zaidi jengo lililoanguka leo, limejengwa hivi karibuni, hata mwezi haujaisha tangu lianze kutumika. Limeua watatu wasio na hatia. Sijui building inspectors wanalipwa mishahara ya kazi gani!!!?