GERALD710
Wewe umekuwa ukibishana na mimi jana tu kuhusu mighorofa yenu mibovu. Ulikuwa unasema ile mijengo mibovu ni ya 2015. Nilikuuliza kwa hiyo ile mijengo mliipeleka wapi? Hukujibu, ukaingia mtini. Mbaya zaidi jengo lililoanguka leo, limejengwa hivi karibuni, hata mwezi haujaisha tangu lianze kutumika. Limeua watatu wasio na hatia. Sijui building inspectors wanalipwa mishahara ya kazi gani!!!?