PostGE2025 Jenifer Jovin maarufu 'Niffer' afikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Novemba 7,2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya uchochezi na kuhamasisha vurugu wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Niffer alikamatwa mnamo Oktoba 27, 2025, majira ya saa 9 alasiri katika eneo la Sinza Kumekucha.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa, “Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji Jenifer Bilikwiza Jovin, mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Masaki Peninsula, Kinondoni, kwa tuhuma za uchochezi na kuhamasisha vurugu.”
 
Baada ya kimya kirefu hatimaye leo yule binti asiyepoa na aliyejizolea umaarufu mkubwa nchini bi Niffer leo amepandishwa rasmi mahakama ya kisutu akikabiliwa na makosa ya UGAIDI
 
Hii serikali ya kigaidi inayoua watu wasiokuwa na hatia ina shida sana. Badala ya kuwachukulia hatua poliCCM waliokuwa wakiwafuata na kuwaua watu ndani ya nyumba zao, wanakuja kumsumbua binti wa watu asiyekuwa na hatia. Wapuuzi wakubwa wamelaaniwa na Mungu hawa vilaza.
 
Naona mission yao ya kummaliza kimya kimya imefeli

Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kelele za watu na umaarufu wake umesaidia sana.

Bado yule strong Income naye pia tunataka afikishwe mahakamani ahukumiwe kwa kufuata taratibu na haki za binadamu.
 
Wamefeli wap hiv unajua impunity ww hawa wameamua tuu kufanya ogopa sana nchi isiyofuata utaratibu wa sheria
 
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya uchochezi na kuhamasisha vurugu wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Niffer alikamatwa mnamo Oktoba 27, 2025, majira ya saa 9 alasiri katika eneo la Sinza Kumekucha.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa, “Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji Jenifer Bilikwiza Jovin, mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Masaki Peninsula, Kinondoni, kwa tuhuma za uchochezi na kuhamasisha vurugu.”
Hivi hii serikali ya kigaidi inamuona kila mtu ni kilaza? Serikali ndiyo inayofanya ugaidi kwa kuwaruhusu poliCCM kuwaua kwa risasi za moto raia wasiokuwa na hatia.
 
Hapo zamani makosa kama haya yalikua ya kutisha yani mtu akifishwa mahakama ulinzi huwa mkali saaana. lakini saivi hata mwizi wa kuku ana pewa tu ili kosa
Wamepanick so wanamtafuta yoyote wamuangushie jumba bovu
 
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya uchochezi na kuhamasisha vurugu wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Niffer alikamatwa mnamo Oktoba 27, 2025, majira ya saa 9 alasiri katika eneo la Sinza Kumekucha.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa, “Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji Jenifer Bilikwiza Jovin, mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Masaki Peninsula, Kinondoni, kwa tuhuma za uchochezi na kuhamasisha vurugu.”
Huu ni uonevu na matumizi mabaya ya madaraka. Wamuachie huru
 
Tusiombee haya Mambo haya masisiemu yanayaka kukaa madarakani kwa namna yoyote watu wakija kuanza UGAIDI serious wasije kulaumu nakushangaa mana wanalitaguta wenyewe
 
Hapo zamani makosa kama haya yalikua ya kutisha yani mtu akifishwa mahakama ulinzi huwa mkali saaana. lakini saivi hata mwizi wa kuku ana pewa tu ili kosa
Hqhaha
 
Tangu serikali ianze kuwafunguliwa watu kesi za ugaidi haijawahi kushinda kesi hata moja.
Anzia kipindi cha chama cha wananchi (CUF)
 
Back
Top Bottom